Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Jesca hakuanza na glocery ndogo.

Huyo ni mwanamke aliefaidika na ukike wake.

Kwanza alivyomaliza tu chuo Jesca aliolewa na mtoto wa kishua mwenye akili anemiliki mali kibao. Mtoto wa waziri wa miaka mingi zamani surname yake SINARE.

Huko jesca aliwezeshwa sana na mumewe.

Na hata ndoa yao ilipofikia Divorce

Jesca hakuondoka mikono mitupu. Mgao wa Divorce ulimpa mtaji wa nguvu.

Bado child support za kishua kwa mwanae nazo zikawa zinamsogeza
 
You Nailed it brother! Upo sahihi ndo maana nampongeza sana huyo dada amekwenda extra miles.! Ukichukulia kuna baadhi ya madada/watu maarufu wameangukia pua na ni Pini kweli kweli kuliko huyo dada walishikwa wakashindwa.
Huyo dada nampa big up sana.Sio rahisi kama watu wanavofikiria.
Hakuna biashara ya bar au glocery inayotoboa bila ushirikina wapo watu walifanya ayo yote unayoyasema lakini olaaaa najuana na watu wengi sana waliofanikiwa kwenye iyo sector naijua A to Z .
 
Kim Jong Jr kakuuliza swali zuri sana ulipaswa kuja na Data sio ushubwadaView attachment 2708865

Data za google sio za kweli see this.
IMG_4455.png

Then muite @mpwayungu_village akwambie mwalimu gani analipwa hio pesa
 
Umejuaje kama ana maisha magumu huyu mtu Mkuu
Mtu mwanamume akifika pahala akatamani kuwa ingekuwa vizuri kama angezaliwa mwanamke, ila anajuta kwa kuwa haiwezekani tena, hapo ujue amepigika!! Anawaonea wivu wanawake maana wao wana plan 2 katikati ya miguu yao!! Ushahidi wa Mpwayungu kutamani kuwa mwanamke huu hapa!! Kwa nini watu wasiamini kuwa huyu jamaa ni shoga?

1691226504159.png
 
Mimi kama jirani yake apa alipojenga kasri lake nawaangalia tu mnavyodanganyana by the way kuna mengi sana nje ya izo biashara uchwara mnazoziona.. kwakuwa sipendagi kuongelea maisha ya watu kwa leo naishia apa...kama kuna mtu atajitolea kuwa mwanasheria wangu kunitetea mahakamani sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakuwa una zile habari za kina Haji manara😁😁
 
Mtu mwanamume akifika pahala akatamani kuwa ingekuwa vizuri kama angezaliwa mwanamke, ila anajuta kwa kuwa haiwezekani tena, hapo ujue amepigika!! Anawaonea wivu wanawake maana wao wana plan 2 katikati ya miguu yao!! Ushahidi wa Mpwayungu kutamani kuwa mwanamke huu hapa!! Kwa nini watu wasiamini kuwa huyu jamaa ni shoga?

View attachment 2709027
Kama Mpwayungu ana ubavu, aje hapa ajitetee!!
 
Kuna Demu Mmoja hapa mtaani ana grocery yake yankawaida tu.

Ni Demu kisuuuu sura umbo matako n.k.

Kwa Sasa anajemga nyumba Kwa Pesa za malofa wanaomtomba Kwa kumununuaa.

Na alivyo Dem mjanja, mpaka akupe K, anakua KESHAJUAA lazima akupukutishe kuanzia 200K .

Nampa Hongera Kwa sababu, tofauti na madem vichwa maji, yeye kaamua kutumia Papuchi kujenga !!.

Na anakuambia,,Nyumba ikiisha tu, natafuta Pesa ya mtaji, nawachana nao wote.
Lakini akumbuke jehanamu inamsubiri!! Wengi hujitoa ufahamu na kujifanya hawalijui hili japo dhamiri zao huwashuhudia sana kuwa wayatendayo yanawapeleka kwenye hukumu ya Mungu!!
 
Kuna Demu Mmoja hapa mtaani ana grocery yake yankawaida tu.

Ni Demu kisuuuu sura umbo matako n.k.

Kwa Sasa anajemga nyumba Kwa Pesa za malofa wanaomtomba Kwa kumununuaa.

Na alivyo Dem mjanja, mpaka akupe K, anakua KESHAJUAA lazima akupukutishe kuanzia 200K .

Nampa Hongera Kwa sababu, tofauti na madem vichwa maji, yeye kaamua kutumia Papuchi kujenga !!.

Na anakuambia,,Nyumba ikiisha tu, natafuta Pesa ya mtaji, nawachana nao wote.
Mkuu wewe haupo miongoni mwa malofa?
 
Back
Top Bottom