ZilishakwendaReasoning capacity yetu Wayanzania ina mashaka.
Ninawakumbusha bandari zinaenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZilishakwendaReasoning capacity yetu Wayanzania ina mashaka.
Ninawakumbusha bandari zinaenda
Mafanikio siyo kuwa na Pesa Nyingi tu!Fikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.
Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.
Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.
Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.
View attachment 2708851
Umejuaje kama ana maisha magumu huyu mtu MkuuMpwayungu vilage ana maisha magumu!! Anaamini maisha yake magumu yametokana na kufeli shule maana bila shaka alikuwa ni kilaza!! Anaona walimu ndo wanahusika na kufeli kwake kwa hiyo ameamua kuwa adui wa walimu maisha yake yote!! Anajifariji kuwa walimu wana maisha magumu kama yeye alivyo na maisha magumu!!
Asingetamani kuwa mwanamke ona hapa chiniUmejuaje kama ana maisha magumu huyu mtu Mkuu
Huo ni mshahara wake wa mwaka😁😁😁Air hostess Gani anaelipwa Dola 3000
Angetubeza mtu anayejielewa ingekuwa poa sana,sasa shoga Mpwayungu Village mtu anayenusa boksa za wanaume Hana credibility hiyoKwa hili la kuwabeza walimu sidhani kama ni sawa!wote tukitaka kufanya biashara nani atakuwa muelimishaji?Walimu waheshimiwa
Mwache aige aagane na kijambio chakeMjini mipango mzee, iga ufe.
Ilibidi wote waache kazi mpaka CCM watakapoijali taaluma na watu wake.Sasa walimu wakiacha kazi watoto wetu watafundishwa na nani? Sio kila mtu anaweza fanya biashara ndugu!
Mwalimu akifika ngazi ya TGTS H anakula zaidi ya milioni 2 kwa mwezi na akifika ngazi ya TGTS I anakula zaidi ya milioni 3. Huyo ni mwalimu wa digrii. Mpwayungu amekalili kuwa walimu wana mishahara midogo wakati hali halisi siyo!!Mwalimu yupi mwenye million mbili Kwa mwezi?? Anyway achana na Kwa mwezi we nionyeshe ticha mwenye million mbili cash mm nikuambie mpemba ambae hali samaki
Daah🤦Angetubeza mtu anayejielewa ingekuwa poa sana,sasa shoga Mpwayungu Village mtu anayenusa boksa za wanaume Hana credibility hiyo
Shoga hawezi kutushauri sisi
Biashara kwa sehemu kubwa huwa ni sehemu ya kutakatisha pesa tu!! Ushirikina pia ni mwingi sana, utoaji wa kafara etc!! Sikatai wapo ambao ni genuine!Kwenye biashara kile kinachooekana kinafanyika hua ni kihalalisho ila kuna mengi sana yanaendelea behind the scenes
tena unaanza na laki 5 🏃♂️ 🏃♂️ 🏃♂️ 😀 😀 😀Ulipwe $3000 uache ukafungue grocery ya vinywaji? 😂 😂 😂 ONLY IN TIZED MAZEE
The birds of a feather flock together,Sema dogo unabugi kumtumia Jesca kama mfano. Jesca ni dalali, danga wa wapopo.
Sijawahi miliki biashara ila nimeajiriwa kwenye hizi biashara hasa za wachina hawa wana uhuni mwingi sanaBiashara kwa sehemu kubwa huwa ni sehemu ya kutakatisha pesa tu!! Ushirikina pia ni mwingi sana, utoaji wa kafara etc!! Sikatai wapo ambao ni genuine!
Du upi huo mkuu ebu tufunulieSijawahi miliki biashara ila nimeajiriwa kwenye hizi biashara hasa za wachina hawa wana uhuni mwingi sana
nimefanya kaz mingi chn ya mabosi. maboc wengi washirikina sana sana si waslam si wakristo si waarab si wahind wapuuz sana. huwa nashangaa wanaosema hakuna uchawi.nasema ni watt maisha laini au bac tu wanabisha out of blueBiashara kwa sehemu kubwa huwa ni sehemu ya kutakatisha pesa tu!! Ushirikina pia ni mwingi sana, utoaji wa kafara etc!! Sikatai wapo ambao ni genuine!
Kwanza fastjet imlipe air hostess million 6 wanaumwa?ukiwa nje ya aviation industry watu huwa wakiuona zile uniform wanahisi wale watu wanalipwa vizuri,kumbe kiukweli hamna kituNi kichaa pekee wa kuamini hilo. Waseme tu mkataba wake uliisha akaamua afungue biashara hapo itaeleweka. Hakuna mtu wa kuacha million 7 kwa mwezi akafungue business ya kitoto kama grocery.