Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Fikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.

Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.

Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.

Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.

View attachment 2708851
Mafanikio siyo kuwa na Pesa Nyingi tu!

Nidhamu na Heshima ya Waalimu ni Utajiri wa kutosha!
Isitokee hata siku moja ukadhani Waalimu ni Masikini!

Ni Matajiri wa watu waliofanikiwa!!
 
Mpwayungu vilage ana maisha magumu!! Anaamini maisha yake magumu yametokana na kufeli shule maana bila shaka alikuwa ni kilaza!! Anaona walimu ndo wanahusika na kufeli kwake kwa hiyo ameamua kuwa adui wa walimu maisha yake yote!! Anajifariji kuwa walimu wana maisha magumu kama yeye alivyo na maisha magumu!!
Umejuaje kama ana maisha magumu huyu mtu Mkuu
 
Umejuaje kama ana maisha magumu huyu mtu Mkuu
Asingetamani kuwa mwanamke ona hapa chini
Screenshot_20230805-094623.png
 
Mwalimu yupi mwenye million mbili Kwa mwezi?? Anyway achana na Kwa mwezi we nionyeshe ticha mwenye million mbili cash mm nikuambie mpemba ambae hali samaki
Mwalimu akifika ngazi ya TGTS H anakula zaidi ya milioni 2 kwa mwezi na akifika ngazi ya TGTS I anakula zaidi ya milioni 3. Huyo ni mwalimu wa digrii. Mpwayungu amekalili kuwa walimu wana mishahara midogo wakati hali halisi siyo!!
 
Biashara kwa sehemu kubwa huwa ni sehemu ya kutakatisha pesa tu!! Ushirikina pia ni mwingi sana, utoaji wa kafara etc!! Sikatai wapo ambao ni genuine!
nimefanya kaz mingi chn ya mabosi. maboc wengi washirikina sana sana si waslam si wakristo si waarab si wahind wapuuz sana. huwa nashangaa wanaosema hakuna uchawi.nasema ni watt maisha laini au bac tu wanabisha out of blue
 
Ni kichaa pekee wa kuamini hilo. Waseme tu mkataba wake uliisha akaamua afungue biashara hapo itaeleweka. Hakuna mtu wa kuacha million 7 kwa mwezi akafungue business ya kitoto kama grocery.
Kwanza fastjet imlipe air hostess million 6 wanaumwa?ukiwa nje ya aviation industry watu huwa wakiuona zile uniform wanahisi wale watu wanalipwa vizuri,kumbe kiukweli hamna kitu
 
Back
Top Bottom