Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Wafungue macho...hiyo 3000$ ndogo sanaMashirika makubwa kama KLM, British Airways, American Airline, Turkish na Luftansa hiyo hela wanapata na zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafungue macho...hiyo 3000$ ndogo sanaMashirika makubwa kama KLM, British Airways, American Airline, Turkish na Luftansa hiyo hela wanapata na zaidi.
Kwa hiyo fani ya ualimu ifutwe?Hujui walimu ndo wanawaambukiza watoto wetu ujinga wao?
Huyo jamaa ana shida kubwaKwa hyo alikuwa analipwa dola 3000 takriban milion 6 plus then akafungua biashara ya vinywaji ambayo haifiki laki 5?
Hv ulijifunza kweli LOGIC darasani?
Wananuka njaa sana wana shida kibao halafu yanajichekesha tu..naona unamwandama sana.
Mpwayungu Village ana hoja nzito sana kwa waalimu, tatizo ni uwasilishaji.
Walimu wengi mnatatizo ambslo mnalirithi na halimjui
Kwa hiyo watoto wako kama unao au utakaowapata Mungu akikujalia watafundishwa na wafanyabiashara wa glocery au?Hujui walimu ndo wanawaambukiza watoto wetu ujinga wao?
Mkuu umegusa mbali sana huko ni zaidi $8000 per monthMashirika makubwa kama KLM, British Airways, American Airline, Turkish na Luftansa hiyo hela wanapata na zaidi.
Mi siyo kioo cha mtu yeyote,Unaenda mbali bila sababu mwalimu.
Kwa kauli hizi unazotumia unampa Mpwayungu Village nguvu ya kuwaona walimu hamjaelimika.
Mwalimu ni kioo cha jamii plz lugha hizi sio SAHIHI KWAKO STOP
Watoto awatoe wapi huyo punga!?Kwa hiyo watoto wako kama unao au utakaowapata Mungu akikujalia watafundishwa na wafanyabiashara wa glocery au?
Aahaaaaa, rikiboy njoo hukuWananuka njaa sana wana shida kibao halafu yanajichekesha tu
Kwa hiyo watoto wako kama unao au utakaowapata Mungu akikujalia watafundishwa na wafanyabiashara wa glocery?Hujui walimu ndo wanawaambukiza watoto wetu ujinga wao?
Ila anachoandika punga Mpwayungu Village hukioni!?Hii sio namna bora ya kujibu hoja.
MWALIMU UNAKOSEA
Watoto awatoe wapi shoga huyo!?Kwa hiyo watoto wako kama unao au utakaowapata Mungu akikujalia watafundishwa na wafanyabiashara wa glocery?
Ndoto yake kubwa ni kuwa na bar kubwa tayari kajipata$3000 ni karibu sawa na TZS 7,460,000 kwa mwezi. Sidhani kama kuna grocery ya vinywaji inayoingiza faidanhiyo kwa mwezi. Sema tu kuwa labda grocery inaweza kumpa nafasi ya kutafuta fursa nyingine.
Mwandiko ndo unawatofautisha,wa Mpwayungu Village kidogo unavutiaMpwayungu village Ni pdidy aliyechangamka
Hizo bar si zake. Bali Ni za Kaka yake aliishi ughaibuni ( nahisi amesharejea Bongo Kwa sasa). Pia, Kuna kutakasa mafwedha humo. UsihadaikeNdoto yake kubwa ni kuwa na bar kubwa tayari kajipata