Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

With due respect,Tutake radhi wagogo
 
$3000 kwa air hostess inawezekana ila kwa Fastjet sijui.

Betty Ajenta air hostess aliyeacha kazi Doha, Qatar na kwenda kufa njaa Shakahola kwa Pastor Mackenzie ilisemekana alikuwa anakunja $41,000/year baada ya miaka 11 kwenye ajira hiyo.
 
Nilijua mna msingizia aisee. Kumbe kuna watu wanatamani kubleed kila mwezi na kupigwa miti kinoma?
[emoji33][emoji33][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
$3000 kwa air hostess inawezekana ila kwa Fastjet sijui.

Betty Ajenta air hostess aliyeacha kazi Doha, Qatar na kwenda kufa njaa Shakahola kwa Pastor Mackenzie ilisemekana alikuwa anakunja $41,000/month baada ya miaka 11 kwenye ajira hiyo.
acha soga wewe, hakuna air hostess anaepata fedha hio kwa mwezi
 
Asikudanganye mtu kuwa hawa wafanyakazi wa kwenye ndege au wa airports wana mishahara mizuri.

Once my daughter worked at JKNIP alikimbia kisa pay iko chini,
mishahara yao ni midogo sana, wanachotegemea, kule wanakoenda kufikia, ni kudanga. ndio maana waliojaa mle wengi ni wanawake, na ukiona mwanaume ni shoga. kwa ulaya ipo hivyo, sijui kwa bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…