Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Kumbe uki download wimbo YouTube unakuwa umemchangia msanii mapato.Kwa mfano wa diamond. Watu karibu wote humu tumewai mchangia hela kwa kununua mziki wake bila sisi kujijua kama tunanua hizo nyimbo.
Diamond anakusanya hela nyingi sana kwenye digital platforms kama youtube, boom play etc.
Mimi ama wewe tukidownload wimbo wa diamond kwenye hizo digital ama tukisikiliza hizo nyimbo hapo ndipo tunakuwa tumemchangia diamond hela. Maana analipwa mapato kutokana na idadi yetu tuliosikiliza nyimbo zake
[emoji3]