Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Kumbe uki download wimbo YouTube unakuwa umemchangia msanii mapato.

[emoji3]
 
Ndivyo alivyokwambia hivyo??
Wanaofanikiwa hawaweki wazi njia zao.

Acha hiyo kazi yako na wewe ukafungue grocery ya vinywaji vya laki 5.

Wewe na hao walimu ni sawa tu, na huenda wamekuzidi maarifa.
 
My friend,
kuwalaumu eti hawajaungana kuongezewa mishahara huko ni kuwaonea,kumbuka Kuna miaka mitano hapo nyuma hakuna mfanyakazi wa serikali wameongezewa mshahara.

Kuhusu kutumika kuiba kura,mwalimu sio malaika,ana familia na majukumu ya kuyatekeleza,hawezi chezea kazi yake inayompatia hicho kidogo....

Kuhusu migomo mnataka migomo gani tena?walimu wa serikali Wana migomo baridi mbona Ina maana hulijui hili?

Hizi lawama za maisha ya walimu tafadhali acheni kuita laana,lawama zielekezwe Kwa serikali ya CCM ndio yenye laana.
 
Yeah sure [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kukwama kwenyewe
 
Dada Joannah walimu wana shida kichwani huwa hawawezi kudai haki zao, ili serikali nikufanyie jambo lazima uparangane Sasa wao hawagomi, hawasemi, hawahoji Wala kulaumu serikali

Maisha Yao yamekuwa ya msoto alpha na omega, wanakumbukwa kwenye visensa na uchaguzi tu na pesa yenyewe niyakifeisali. Sasa kweli wangekuwa timamu wangekubali kupangishwa foleni wafanyiwe interview za sensa?? Mbona hatuwaoni madaktar, wanajeshi, na wanasheria wanaomba kazi za sensa na uchaguzi?, Yani walimu hawawazi kabisa kuhusu human dignity wao bora liende tu
 
Wewe umetajirika..?? Mambo ya motivation speaker sio ya kuyaamini saana kwa maana hawezi kusema njia zake zote katika kufikia alipo
 
Haya unayosema yanaweza kuwa sawa lakini Huoni kama una exaggerate sana?Hivi mwalimu, police, nurses,bwanashamba,katibukata Wana tofauti gani kimshahara Hadi mwalimu ndio aonekane ananuka shida?
 
Walimu wanaovaa Tshet siku ya mei mosi ni wale wenye vyeo ambao hata Chaki hawashiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…