Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Tichaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu alikuwa na sponsor, sema hongera kwake maana alijiongeza.Katumia pesa za sponsor kuinvest. Baadae kampiga chini sponsor na kaibuka na kiben ten.
Hata masogange alikuwa anadai ni mwanamIki na pia ni model.
Mpa tuliposikia kakamatwa na mzigo wa thamani 6bn.

Chapeni kazi stori zingine tuishie kupumzikia tu ila sio za kuchukulia serious sana
 
,😅😅😅Kama yule alijiitaga Super woman

Sorry kwa wanawake kwa kusema hivi ila wanawake wengi wenye mafanikio wameboostiwa na wanaume/mipango yao ya kando/wamewezeshwa kwa ajili ya uhusiano....Maduka/Grocery/Bars/Butique/Restaurants etc wamefunguliwa na mabwana zao ,wachache sana ndiyo wamepambana wao kama wao lakini kuna % mwanaume pia amehusika kwenye hayo mapambano yao waliobaki wengi msingi kiuno.
 
Haya unayosema yanaweza kuwa sawa lakini Huoni kama una exaggerate sana?Hivi mwalimu, police, nurses,bwanashamba,katibukata Wana tofauti gani kimshahara Hadi mwalimu ndio aonekane ananuka shida?
Hapa tunaongelea walimu sio polisi Wala nurse, kwanini mnapenda kuingiza kada ambazo hazipo kwenye mada.

We Dada angu bhnaa unanipinga tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mwalimu mkongwe nilimkuta shuleni tulipoenda kuripoti kuanza kazi ya ualimu. Yule mwalimu akawa anatushangaa na kutuuliza nyie vijana mmefuata nini huku? Kama vipi kimbieni haraka sana hii kazi mngali mna nguvu, la sivyo mtakuwa mmesaini umasikini wa kujitakia nyie pamoja na watoto wenu. Alisema huko kuna hela za kula tu, kama tunapenda kula tu ni hiyari kusubiri huo mshahara wa kula kila baada ya wiki nne tukijua hiyo sio kazi bali tumeajiriwa kama mayaya wa kulea watoto wa watu wanaofanya kazi. Kauli hiyo iliniacha hoi nisijue niache kazia au niendelee nikitumainia pensheni ya uzeeni.
 
Shilole nani kambusti zaidi ya akina uchebe na Mziwanda kwenda kumfilisi tu msosi wake
 
@Joannah njoooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
$3000 airhostess hapa TZ?
 
99%. Hata kama ni Tigo pesa ujue kuna mwanaume. Awe wake au hata kwa kuuza nyapu.

Hata kwenye vyeo ni hivyo hivyo awe amesoma au hajasoma.

Wahenga tunaelewana
 
Shilole nani kambusti zaidi ya akina uchebe na Mziwanda kwenda kumfilisi tu msosi wake

Mkuu ukiwaelewa wanawake utaamini maneno yangu ,fedha ya mwanamke ni ya mwanamke ,sisi kwa nje ndiyo tunaona kwamba Uchebe na mziwanda walikuwa wanamfilisi lakini ukiwahoji chamber hao kina uchebe na Mziwanda watakwambia ukweli ,m/ke tena mjasiliamalia atoe fedha ahonge m/me? Wanawake wanaohonga ni wale ambao wanamichepuko mizee ambayo inawahonga na wao wanaenda kutafuta viserengeti vya kuwahonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…