Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Sasa Mkuu ukianza kuchukua inspiration kwa wadada utapotea. Huyo ukute aliachishwa kazi na sponsor lake, akajipumzikia zake, after the mentioned years akapewa mtaji wake ndo saivi anatikisa mjini. Hao wanawake wenzako wana contingency plan between their legs in case mambo hayaendi vile wanataka, wewe sasa jichanganye uache kazi ukaskume guta alafu ukose mizigo ya kubeba kwenye hilo guta, uone kama hujavuliwa ubingwa mjini hapo😅
 
Hakuna shoga mwenye akili timamu

Mtu apate dola 3000 (kwa Sasa sawa na 7,000,000+) halafu aache kazi afungue biashara ya mtaji usiozidi 500k??


Why?? Hana mtaji au kapenda au what??

Halafu acha kusikiliza stori za motivation speakers, 95% ya wafanyabiashara waliofanikiwa huwa hawaelezi uhalisia walivyotoboa,

Kila mtu atakueleza kuwa alianza na mtaji mdogo au kwa shida
 
Unasemaje kuhusu wafanyakazi waliokopa Benji hela ndefu na kuingiza kwenye biashara Kisha zikafeli na wakayumba Sana

Unasemaje kuhusu watu walioacha kazi wakaingia kwenye biashara Kisha biashara zikafeli na wakatamani warudi kwenye kazi na ikashindikana kabisa??

Maisha hayana formula, acha kila mmoja apambane kwa namna inavyompendeza


Watu wanapambana ila hawatoboi

Sio kila aliye maskini hafanyi kazi kwa bidii

Sio kila aliyefanikiwa amefanya kazi bidii.
 
Back
Top Bottom