saleni
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 1,880
- 2,843
Alitemwa sema kusema kwa uwazi kipengele nacho.Ni kichaa pekee wa kuamini hilo. Waseme tu mkataba wake uliisha akaamua afungue biashara hapo itaeleweka. Hakuna mtu wa kuacha million 7 kwa mwezi akafungue business ya kitoto kama grocery.