Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Unasemaje kuhusu wafanyakazi waliokopa Benji hela ndefu na kuingiza kwenye biashara Kisha zikafeli na wakayumba Sana

Unasemaje kuhusu watu walioacha kazi wakaingia kwenye biashara Kisha biashara zikafeli na wakatamani warudi kwenye kazi na ikashindikana kabisa??

Maisha hayana formula, acha kila mmoja apambane kwa namna inavyompendeza

Watu wanapambana ila hawatoboi

Sio kila aliye maskini hafanyi kazi kwa bidii

Sio kila aliyefanikiwa amefanya kazi bidii.
Umelopoka tu
 
[emoji1430]
 
Hio biashara ya bar ni extension ya biashara yake kuu ambayo mimi na wewe hatuijui[emoji1787]!
Watu wote hawawezi kufungua bar. Wengine lazima wafanye issue zingine. Walimu wengi tu wana miradi sio lazima itangazwe kama kitambaa cheupe.

Kwani bar ngapi zimeanzishwa zikavuma na zikafa? Mtoa mada anafikiri kitambaa cheupe ndio bar ya kwanza Dar. Atakuwa mgeni wa starehe.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Huy

Good observation
 
Back
Top Bottom