Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Labda nikwambie.
Kuna watu wanajua kushikwa mkono na wakashikika sio kama akina Wema.
Hasa wanawake wa kichaga, wakishikwa mkono watakushangaza.
98% ya wanawake wenye mafanikio ndani yake kuna mikono na sio mkono...ya wanaume.

Hasa hawa wenye bar wanajua sana kutengeneza michongo kupitia wateja wao wa kudumu.

Utakuta ana eneo maalum la kukaa na wateja wake wa kila siku na kupiga nao stori huku wa kinywa taratubu, mkilewa mnaanza kutoa ahadi za kumjengea mara kusomesha watoto, mara wengine kuongezea mtaji wa kreti za bia.
Imejini kila siku apewe kreti 2 ..3 za bia ndani ya mwaka yuko wapi?

Endelea kuwatukana walimu lkn mjini shule...walimwengu ndio waalimu wenyewe[emoji1787][emoji1787]
Ingekuwa hivyo hata bar za antiezekiel na amber lulu zingejaza wangekuwa matajiri wa kufa mtu tena ukilewa tu unataka kumjengea nyumba antiezekiel unatoa offer ya cret hamsini
 
Mwalimu yupi mwenye million mbili Kwa mwezi?? Anyway achana na Kwa mwezi we nionyeshe ticha mwenye million mbili cash mm nikuambie mpemba ambae hali samaki
Hakuna mwl mwenye ml 2 cash.
Huyu c jui n mtu gani.
Itakua ndo hawa walikulia machakani ghafla wakasoma mjini waka kutana na motivational speakers wakawaambia professional zao hawata fanikiwa wauze jicho wanakuja ku shtuka wenzake wenye professional hizo hizo wametoboa yy na jicho lake kila mda liko wazi analiziba na tambala anakua na hasira za bila sababu.
Kuna walimu wanaweza kukulisha ww na familia yako mbaka ukafa shida ww n mshamba sana hujui maisha ata kidogo ndo maana ukaliwa jicho kwa ujinga wako fanya tafiti za kueleweka.
Kuna gari za zaidi ya ml30 wanamiliki walimu au hata hizo pia hizionagi.
In comparison to other profession, teachers are less paid that is the only point the lest is life experience which drives ones life you jerk
 
Mkuu Mpwayungu Village ni mwalimu reject,alipoona maisha magumu akaona atapata kamserereko Kwa kubadilisha jinsia
 
Sponsor haachwi anaacha. Sema sponsor alishamchoka huyo dada tu naye so akaamua amuache tu akapambane na vibenteni.
Kumbe sponsor huwa haachwi?Ikute sponsor hana nguvu za kiume na bibi kaona anaweza kusimama kwa miguu yake akaamua sasa atafute mtu wa kumsugua vizuri,baada ya mihangaiko ya kila siku katika kusaka noti.
 
Ingekuwa hivyo hata bar za antiezekiel na amber lulu zingejaza wangekuwa matajiri wa kufa mtu tena ukilewa tu unataka kumjengea nyumba antiezekiel unatoa offer ya cret hamsini
Rudia kusoma post yangu vizuri.
Sio kila mwanamke akibebwa hubebeka wengine wanakukojolea mgongoni.

Wanawake asilimia kubwa...rudia...sema asilimia kubwa wanaobebeka nchi hii ni wa kaskazini...wachaga

Asili yao ni biashara tangu tumboni mwao. Wanaweza kujenereti laki moja ikawa bilionz of money...+ wakibebwa kidogo wanabebeka sana...the rest ni majaliwa, ukimbeba showoff kibao na matanuzi makubwa kiasi kwamba kibebeo kinaishia kujikwatua.

Mimi sio mchaga, sina ukaribu nao but ni aina ya mbegu ya kipekee katika kutengeneza pesa.

Wanawake wa kichaga ni wajanja mnoo mbele ya pesa, wana midomo ya kuvuta pesa, so humble mbele ya pesa.

Akikutana na Mgogo kama wewe unaweza kuuza hadi pumbu umpatie pesa🤣🤣🤣🤣

Ukiiishiwa wala hakukumbuki hata jina lako, I know them in/out.

Hasa ukakuta mrembo wa kichaga ana ki grocery chake lazima atengeneze base ya wateja wake tena wenye majina.

Snakuwa na ki vip lounge/room maalum cha kukaa nao hadi usiku wa manane.

Wewe mgogo uliyezaliwa kwenye vumbi la Dodoma huwezi nielewa maana ndio ushamba unaanza kukutoka ( natania usi mind mkuu🤣)

Kwa kifupi Wachaga ni Waisrael wa Tanzania sawa na Kikuyu wa Kenya...hawa watu mimi nawajua mnoo.

Jesca kamwe hajafika pale peke yake..

But ...ninampa credit kwa kubebeka hilo nalo NENO
 
Labda nikwambie.
Kuna watu wanajua kushikwa mkono na wakashikika sio kama akina Wema.
Hasa wanawake wa kichaga, wakishikwa mkono watakushangaza.
98% ya wanawake wenye mafanikio ndani yake kuna mikono na sio mkono...ya wanaume.

Hasa hawa wenye bar wanajua sana kutengeneza michongo kupitia wateja wao wa kudumu.

Utakuta ana eneo maalum la kukaa na wateja wake wa kila siku na kupiga nao stori huku wa kinywa taratubu, mkilewa mnaanza kutoa ahadi za kumjengea mara kusomesha watoto, mara wengine kuongezea mtaji wa kreti za bia.
Imejini kila siku apewe kreti 2 ..3 za bia ndani ya mwaka yuko wapi?

Endelea kuwatukana walimu lkn mjini shule...walimwengu ndio waalimu wenyewe[emoji1787][emoji1787]
Kama unakuja hivi mkuu! Kwamba ana place maalumu ya kuwakongoa hela malofa au siyo? Na mathematically malofa wanazaliwa kila siku sema wanapungua tu hawaishi, sivyo?

Hapo wanaume wanaojikuta wanashika sana mikono ndiyo malofa au? Yaani unaleweshwa kwa bia unasomesha watoto?
 
Back
Top Bottom