Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Hili kijana lipumbafu kweli kweli..umesema alikua na salary $3000 kwa mwezi, Almost 7m kwa mwezi,,sasa aliwezaje kufungua grosary ya 500k
 
Ndio ile bar iliyoungua?

Duuh yanasemwa mengi
 
Walimu ndiyo kada pekee hapa Tanzania inayo tukanwa, kudharauriwa, kutwezwa na kukalipiwa hata na mlevi.

Ukizingatia mshahara mdogo na hakuna allowance wanaonekana hopeless. Ualimu tz ni laana.
Hahaha duh....Mkuu acha dharau
 
Biashara zina siri nyingi sana
 
"Nilianza na mtaji wa elfu 10" - Shamim Mwasha Zeze 8020 Fashion
"Nilianza na mtaji wa Elfu 40" -Niffer
 
"Nilianza na mtaji wa elfu 10" - Shamim Zeze

"Nilianza na mtaji wa afu arobaini" - Niffer

"Nilianza na uaHouse girl" -Joyce Kiria
 
Hujui ya nyuma ya pazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…