Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Nikimuona Jesca namkumbuka shuga momy wangu wa Kampala Vicky wa De Posh Bar

Dah life was good , naanzia Capital Pub au Al's Bar naenda kumalizia De Posh VIP kwa Vicky
 
Fikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.

Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.

Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.

Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.

View attachment 2708851
Fastjet ulipwe $3000 kweli wewe na deo kisandu akili zenu sawa
 
Ige ufe hawa wengi wao sio kusema hizi biashara ni nguvu zao bali kuna jambo nyuma ya pazia hapo ni kama anasafisha pesa kwa OMO, si unawakumbuka wale wa vibubu, maduka ya nguo kutoka China na mambo mengi ,usicheze na watoto wa jiji la Darisalaama eti ukafuate ambayo wanajidai ndio chanzo chao cha kufanikiwa afadhali endelea kula maharage tu na kupanda daladala utaishi muda mrefu na hautakuwa na stress kuliko hao wanaoendesha mavogue na ndinga kalikali.
 
Tutabaki hivyo hivyo
we kweli kiazi si ndio ulipost utopolo huu

Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena​

Next
Jump to newWatch
•••
[IMG alt="Mpwayungu Village"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/641/641530.jpg?1687901911[/IMG]

Mpwayungu Village

JF-Expert Member​

Jul 21, 2021 13,112 25,449
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha
emoji24.png
emoji24.png
emoji24.png


FORGIVE ME JESUS
emoji120.png
emoji120.png
emoji120.png


m. village

 

Attachments

  • 1691357636112.gif
    1691357636112.gif
    42 bytes · Views: 4
  • 1691357636136.gif
    1691357636136.gif
    42 bytes · Views: 3
  • 1691357636168.gif
    1691357636168.gif
    42 bytes · Views: 3
Back
Top Bottom