mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Hahaha yakioneshwa nini? Katika hao wastaafu wapumbavu... JK mnyama na Lowassa hawawezi kuwepoAnabebwa na rangi yapo mastaafu mengi yanapesa za kuchezea mjini yakionyeshwa shanga tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha yakioneshwa nini? Katika hao wastaafu wapumbavu... JK mnyama na Lowassa hawawezi kuwepoAnabebwa na rangi yapo mastaafu mengi yanapesa za kuchezea mjini yakionyeshwa shanga tu
Pale Airport Port yupo Dada huwa anatangaza Departure za ndege kwenye zile speakers za Airport.. anaongea kiingereza kizuri kweli[emoji28][emoji28][emoji28]Fikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.
Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.
Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.
Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.
View attachment 2708851
Nishakuwa na madem wa3 Kwa nyakati tofauti wote wote walikuwa wanatamani kuwa airhosters.. no wonder whyFikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.
Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.
Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.
Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.
View attachment 2708851
Acha kejeli na ww kila siku walimu walimu mbona unapangia watu maisha ww kwani lazima kila mtu afanikiwe ukifanikiwa ww inatosha kwanza fastjet ilifilisika tz akatafuta alternative nyingine ikamtoa kimaishaFikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.
Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.
Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.
Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.
View attachment 2708851
'sisi', wewe na nani?Mshahara mnaopewa ni against human dignity sema tu mnaona mpo Sawa kumbe sisi hatuwaoni ni binadamu
Ni mil 7+ hiyo..Nimeshangaa
Yani mtu aache milion 6 + Kwa mwezi aende Kuanzisha biashara ya kusumbuana na tra na osha
Usiamini sana hz story ooh aliacha kazi serikalini, akaamua kujiajiri! Huwa zimejaa uongo mwingi sana, ukiziamini, utajiona kama hufanyi kazi kwa bidii, kuna yule mdada wa mbezi beach, kila siku alikuwa mitandaoni na kwenye matamasha akisisitiza wanawake wajikwamue kwa ujasiriamali! Anawapa mawazo meeengi ya kufanya biashara, anajitolea mfano kwamba ye ye kafanikiwa,Fikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.
Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.
Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.
Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.
View attachment 2708851
Watanzania mna akili za hovyo sana! Mhudumu wandege alipwe $3000 kwa mwezi bongo?Fikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.
Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.
Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.
Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.
View attachment 2708851
Ipo clip yake amesema mshahara wake ulikuwa milioni moja na laki moja (Tsh. 1,100,000).Ulipwe $3000 uache ukafungue grocery ya vinywaji? 😂 😂 😂 ONLY IN TIZED MAZEE
Ipo clip yake amesema mshahara wake ulikuwa milioni moja na laki moja (Tsh. 1,100,000).
Si kwamba aliacha kazo bali kampuni iliondoka Tanzania nadhani itakuwa ni FastJet.
Clip hii hapa YouTube
Kibeni10 nacho kitampiga chini kitaibuka nadogodogo nakumuibia pesa.maisha nimzunguko.Halafu alikuwa na sponsor, sema hongera kwake maana alijiongeza.Katumia pesa za sponsor kuinvest. Baadae kampiga chini sponsor na kaibuka na kiben ten.
Wa kawaida SANA.Nimetoka kuiangalia now im fully informed.
Yuu wanti tu telli mi thisi woman is selling her mbususu au?Hio biashara ya bar ni extension ya biashara yake kuu ambayo mimi na wewe hatuijui🤣!
Mganga wake fundi sanaRegardless alianza na sh ngapi au alidanga etc..lakin all in all now anatengeneza utajiri sana kwenye bar zake....Kipi hasa kinafanya bar zake zijae kila siku maana zinajaa huwezi kutofautisha jumamosi na jumatatu. Mbona bar zingine nzuri zaidi lakini zinakufa ? Ni market strategy au nn kipo nyuma yake?
Fikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.