Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Nimecheka hadi sifai[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanyaki hawapendi ujinga, maskini jeuri hadi kifo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wewe ni shahidi una vimelea muhimu vya Kinyaki mbusi wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio umeamua unibadilishie na muandiko. Lione
 
Fikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.

Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.

Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.

Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.

View attachment 2708851
Dola 300 au Dola 3000?
 
Back
Top Bottom