Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Fikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.

Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.

Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.

Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.

View attachment 2708851
Pale Airport Port yupo Dada huwa anatangaza Departure za ndege kwenye zile speakers za Airport.. anaongea kiingereza kizuri kweli[emoji28][emoji28][emoji28]

Lakini Ni muuza pussy mbobezi.. yani Kwa kifupi anajiuza..

Sijasema kuwa huyu nae Ni kama yeye.. ila nimeona nitoe mfano tuu
 
Fikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.

Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.

Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.

Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.

View attachment 2708851
Nishakuwa na madem wa3 Kwa nyakati tofauti wote wote walikuwa wanatamani kuwa airhosters.. no wonder why
 
Fikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.

Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.

Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.

Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.

View attachment 2708851
Acha kejeli na ww kila siku walimu walimu mbona unapangia watu maisha ww kwani lazima kila mtu afanikiwe ukifanikiwa ww inatosha kwanza fastjet ilifilisika tz akatafuta alternative nyingine ikamtoa kimaisha
 
Kwa airport binti akiwa mzuri kweli kweli na anafanya kazi pale hasa passenger check-ins & assist with boarding and deplaning and communicate travel information to passengers terminal 3 au terminal 2 kutoka kimaisha kupitia kuwa na mabwana wengi ni rahisi inategemea na kichwa chake kwasababu anaonwa na wengi wanaojiweza, kutongozwa kwa kuachiwa namba na bakshishi ni sehemu ya maisha yake ya kila siku, niliyapitia hayo kwa ex-wangu way back.
 
Fikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.

Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.

Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.

Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.

View attachment 2708851
Usiamini sana hz story ooh aliacha kazi serikalini, akaamua kujiajiri! Huwa zimejaa uongo mwingi sana, ukiziamini, utajiona kama hufanyi kazi kwa bidii, kuna yule mdada wa mbezi beach, kila siku alikuwa mitandaoni na kwenye matamasha akisisitiza wanawake wajikwamue kwa ujasiriamali! Anawapa mawazo meeengi ya kufanya biashara, anajitolea mfano kwamba ye ye kafanikiwa,
Ilipokuja kugundulika, kumbe ye ye na mumewe ni wauza ngada madawa ya kulevya! Sasa hv wanaozea jera.
Sisemi kama haiwezekani kuacha kazi na kujiajiri, Ila usizimeze sana hizi, story bila kuchunguza,
Kuanzisha biashara tena kubwa, mpaka ukaajori watu sio lele mama,
Kuna watu niliwakuta kwenye kampuni nilipoanza kazi, in 2000+, walikuwa vijana tena wenye vyeo vikubwa, at 40+walikuwa bado hata nyumba mbili hawana,
Walikuja kupata kazi kampuni nyingine, baada ya muda wakapunguzwa, hiyo ni 2017! Wakalipwa mpunga mrefu saana, ndio wakaweza kufungua kampuni zao, sasa hv ni madingi,na wameajiri vijana kibao! Hapo mtu alianza kazi 1997,anakuja kuwa na uwezo, wa kufungua kampuni na biashara 2018! Baada ya miaka 20!
Sasa hz story "kafanya kazi miaka 5,kaacha, kajiajiri sasa hv anaendesha Vogue LA milioni 500!!
" Zisikilize kwa, machale sana.
 
Fikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.

Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.

Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.

Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.

View attachment 2708851
Watanzania mna akili za hovyo sana! Mhudumu wandege alipwe $3000 kwa mwezi bongo?
 
Regardless alianza na sh ngapi au alidanga etc..lakin all in all now anatengeneza utajiri sana kwenye bar zake....Kipi hasa kinafanya bar zake zijae kila siku maana zinajaa huwezi kutofautisha jumamosi na jumatatu. Mbona bar zingine nzuri zaidi lakini zinakufa ? Ni market strategy au nn kipo nyuma yake?
Mganga wake fundi sana
 
Nadhani uko miongoni mwa jamii ya mashoga, kia kukicha unasakama waalimu tu, hata mzee wako ni juhudi za walimu. Nenda ukachambe dogo, mambo mengine jaribu kuficha upumbavu katika jamii, kila mtu acheze ktk eneo lake. Hawawezi watu wote wafungie biashara, nani atakuwa mteja wa mwenzake? Acha upimbi.

Back
Top Bottom