Jesca Magufuli amemtembelea Odinga ili kumtakia heri katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC)

Jesca Magufuli amemtembelea Odinga ili kumtakia heri katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC)

Kwa hiyo kisa Mimi Nina msapotiii LISU ndo mnataka kunifanyia ivo?

Ukiambiwa upige kura kati yangu Mimi na Lucas utampa nani achukue Jimbo 😂
Yule ni liCCM mm ni team Lissu. Team Lissu ndie mshindi. Kura umepata, na kwa hilo utakubali uniachie Jesica? 😂😂😂😂
 
Yule ni liCCM mm ni team Lissu. Team Lissu ndie mshindi. Kura umepata, na kwa hilo utakubali uniachie Jesica? 😂😂😂😂
Ndugu yangu kwani si Mimi ndo umenipa baraka zote hapa niwe na jesicaaaaa? Mkuu mbona unataka kunigeukaaa 🥹
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unacheza na siasa. Ni give or take. niachie nipigiwe mm kura basi.

Titi for tat, I mean tit for tat😅😁
Naanza kesho kufunga Saba kavuuuu ili nimpate jesicaaaaaaaa 🥹😂😂😂
 
Jesca ni mtu smart hana arrogance similar to all Magufuli children. Wako very calm
 
Back
Top Bottom