Jesca Magufuli ni mkomavu wa kisiasa au msaliti kwa baba yake?

Jesca Magufuli ni mkomavu wa kisiasa au msaliti kwa baba yake?

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,332
Reaction score
4,822
1001320352.jpg

Mengi yamesemwa kuhusu kifo cha Hayati Magufuli.

Watu wake aliofanya nao kazi kwa ukaribu wanasema Magufuli ameuwawa na kundi linaloitwa wanamtandao.

Ukianza kulichakata kundi ili unakuwa members wake ndio wanaoratibu kila kitu kwa sasa kwenye CCM.

Na kuna yule asemwi lakini ndio alikuwa anatumika na kundi ili kumhujumu Magufuli mpaka kupelekea kifo chake.

Swali ni je, Jesca mtoto wa Magufuli kushiriki kama mgombea kwenye uchaguzi huu ni kutoa endorsement kwa kundi ili ndani ya chama na kumsaliti baba yake au huyu binti ni mkomavu wa kisiasa kiasi kwamba kila kinachosemwa anakichukulia kama maneno ya uzushi tu?
 
View attachment 3486980

Huyu dada mpumbavu sana, labda kama anajipenyeza kuja kulipiza kisasi vinginevyo anachofanya ni ujinga
 
Maghufuli hata nyumbani walikuwa hawamkubali , angekuwa social father wanawe wangekuwa wapo mbali Sana , imagine huyu manzi alikuwa na Moyo wa siasa ila Mzee alikaza kumpa support mpak ameamua kujipambania mwenyewe baada ya Mzee Kufa ... !! Mzee alikuwa miyeyusho Sana Yule , sema wanyonge ndo walimkubali ila kwa wenye akili timamu hakukuwa na raisi pale
 
Wewe una ushahidi kuwa magufuli kauliwa?tumpe jesca aende mahakamani?.Kwa jinsi jiwe alivyokuwa nani ameweza kumdhuru mpaka kifo?.
 
  • Mtu anagombea cheo fulani ili afanye nini ?
  • Mtu yupo Chama fulani kwanini (Watu, Itikadi, Platform, Marafiki au kurudisha fadhila)?
  • Samaki mmoja akioza wote wameoza (je ni sawa katika binadamu kwamba kundi fulani likiwa sio sawa basi wote sio sawa ? Kama ndio basi hata Wanasiasa wote tunaweza kusema Wameoza
  • Long term plans ni zipi (join and try to bring change from within au piga kelele nje without an impact itakayopatikana vinginevyo)
Ingawa ukishangundua hizi ni Platforms tu za kupata Kura na hakuna ideological difference between one or the other utagundua kwamba hii ni kazi, kama ilivyo kazi nyingine na Adui yake huenda sio CHAMA per se bali WATU within the Party, and being young she might just be buying her time and investing for the Political Future (Ulaji wa Kesho)
 
Mbona watoto wa chacha wangwe hawakuondoka Chadema. Nadhani anajenga tu career path yake kama tu watoto wa Sokoine (Namelok), Mgimwa, au kolimba, ambao wazazi wao inasemekana walikufa vifo vya utata.

Kikubwa alichosema Kikwete tusirithi maadui wao kumchukia JPM haimaanishi watamchukia Jessca and vice versa.
 
Write your reply...kwa hiyo nyie mna uchungu na kujua ukweli kuhusu kifo chb jpm kuliko familia ya jpm ikiongozwa na jescar magufuli?
 
Back
Top Bottom