Jeshi la 6 kwa ubora duniani linaweza kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga?

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.

Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?

Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande huo.

Je sisi ni zaidi yao?
 
Achana na jeshi la 6 ,hapa jukwaani tu tunawataalam wa mabovu na mbivu za kivita wanatutosha..
Soma nyuzi za mapigano ya mashariki ya Kati hapa jf ndo utabaini kumbe Tanzania inawatalaamu wa kutosha wa kivita..
So Tanzania tutembee kidari kikiwa mbele.
 
Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.

Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?

Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande huo.

Je sisi ni zaidi yao?
Jeshi la Tanzania la6 Halafu Israel 16Duniani! Sijakuelewa
 
Uwezo tunao ukibisha una yako🤣
IMG_3796.jpeg
 
Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.

Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?

Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande huo.

Je sisi ni zaidi yao?
Hizo details za jwtz kua ya 6 ulipata wap
 
Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.

Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?

Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande huo.

Je sisi ni zaidi yao?
Wewe umetumwa kutuchonganisha na jeshi letu. Sio bure.
 
Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.

Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?

Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande huo.

Je sisi ni zaidi yao?
Yote tunayatungua na teknologia yetu ya sumbawanga,rukwa ,katavi ,na Tanga,
 
Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.

Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?

Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande huo.

Je sisi ni zaidi yao?
Nadhani ungeangalia upya statistics za africa. Hizo jeshi namba sita bora duniani ni siasa
 
Mwanangu mbn umecheka 😄

Ova
Sasa mzee wewe mtu anavunja tofali sawa Ni mafunzo mojawapo ya kujihami..
Je kwa Mambo Kama ya jana namna Ile mayai yanavoshushwa hewani uvunjaji wetu wa matofali utasaidia nini..
Wenzetu wametuzidi Sana aisee..
We fanya Ile mizigo ya Jana ndo tunashushiwa sie si hatari.
 
Ndiyo hapo sasa

Ova
 
Back
Top Bottom