Jeshi la 6 kwa ubora duniani linaweza kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga?

Jeshi la 6 kwa ubora duniani linaweza kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga?

Mpaka hapo kusema ni jeshi la 6 kwa ubora duniani sina hata cha ku comment!
 
Kuna wanajeshi fulani huwa wanavunja tofali kwa mikono
Na kubeba magogo sasa hiyo teknik sijui ikitokea vita wana I apply

Ova
Hiyo haifanyi kazi kwenye uwanja wa vita.
 
Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.

Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?

Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande huo.

Je sisi ni zaidi yao?
Masihara
 
Pengine Hukuelewa vizur Jeshi la Tz ni namba sita as an Army ( Infantry), Kuna aina 3 za majeshi (MILITARIES)
1. ARMY hili ni jesh la Miguu au jeshi la Ardhini, wakat mwingine huitwa Infantry
2. Jeshi la Anga ( AIR FORCE), hili ni mwendo wa Angani tu linatumia sana Ndege za kivita na Drones, TZ sidhan km liko poa
3. Jeshi la Majini, Hili hufanya shugul zake Baharini tuuu au kwenye Maziwa
-Inaposemwa Jeshi la Tz ni namba 6 dunian maana yake ni La miguu yaan ARMY or INFANTRY
Na ukifiatilia uezekano huo upo Jeshi la miguu la Tz limekuwa na ufanis sanaa katk sehem mbali mbali linapopelekwa kulinda amani.
Pia Jeshi la miguu la TZ lina wanajeshi wengi sanaaaaaaa imagime kila mwaka watu wanajiunga yena kwa wingi, pia Tz ina Jeshi la Akiba kubwa sanaaaa Imagine Form 6 wote wanaoenda JKT huesabika kama Jesh La akiba na kila mwaka Form 6 wanajazan ktk kambi mbali mbali nchini
-YES UPANDE WANGU NAAMIN JESHI LA MIGUU LA TZ NI MIONGON MWA MAJESH BORA DUNIANI
- ILA UPANDE WA JESHI LA MAJI NA JESHI LA MAJINI BADO TUNA SAFARI NDEFU hata upande wa Technology bd tupo chin sanaaa. unaangalia Vifaa vinavyotambulishwa mbele ya rais pale iwanja wa Uhitu unaishia kicheka tu
 
Aliesena JW ni namba 6 itakua umbo lake ni bamba 8. Maana anarahisisha sana Mambo.
 
Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.

Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?

Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande huo.

Je sisi ni zaidi yao?
Kwa nini turushiwe makombora .?
 
Battle ground inawezekana tukawashinda.ikifika kwenye anga na makombora mtapoteana,utakuta mabaka chamazi wenginne chanika,ununio na boko basihaya
 
Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.

Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?

Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande huo.

Je sisi ni zaidi yao?
Ndio tunayo
 
Yani hao iyo 6 ukiatoa USA, Russia, China,uingereza,na ujeruman ndo anafata jw ama?🤔🤔
ninavyojua kuna
usa
urusi
china
uk
india
ufaransa

japo sijapangilia vzr lkn ila hao ndo wana fiti hapo

bado iran haingii hapo
japan
south korea
na kiduku anaye tunisha misuli kwa USA tumzidi?:1Head:
 
Hata hapa Africa tu hatupo kwenye top 10
kwanza hawana nidhamu mfano wakina nyundo wale wala mtungo
raia ukivaa nguo ina mabaka wanakuvua hadharani
jeshi letu lipo kizamani sanaa!
 
Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.

Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?

Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande huo.

Je sisi ni zaidi yao?
Na wewe ukamwamini??
Anyway kifo ni kifo tu.
 
Interception ya makombora kwa sasa haipo kwenye vigezo vya majeshi bora duniani. Kwanza kwa huu mfumo wa Israel, umeanza kutumika majuzi tu hapa na ulitengenezwa kwa pamoja kati ya US na Israel. Na kwa upande mwingine, mfumo wenyewe sio sustainable kwa sababu, kwa mujibu wa gazeti la Guardian UK, ambao walimnukuu Afisa wa IDF, wanadai wakati Iran gharama ya kutengeneza makombora yao ni Pound 80K kwa Kombola, gharama ya Kombora la kutungua hilo kombora moja ni Pound 800K! Yaani Mara 10. Halafu kuna aina nyingine ya interceptor wanayoitumia, yenyewe ni ya muda mrefu kidogo! Hiyo gharama yake ndo balaa manake inagharimu Pound 3.5M ku-intercept kombora la Pound 80K! Baada ya kusoma hii habari ndo nikajua kwanini US always atam-support Israel kwa misaada ya kijeshi kwa sababu unatengeneza single interceptor kwa gharama kubwa hivyo, lazima uwe na practical use ya kuthibitisha ubora wake ili uweze kushawishi majeshi mengine duniani kulipa pesa nyingi yote hiyo! Ujinga ni kwamba, ukikutana na jeshi lenye missiles nyingi, kwa hiyo gharama lazima utaishiwa pumzi tu kwa sababu ni very costful kuwa kiasi kikubwa cha hizo interceptors.
Unahishiwaje wakati wenyewe ndio wanatengeneza!
 
Back
Top Bottom