Jeshi la 6 kwa ubora duniani linaweza kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga?

Jeshi la 6 kwa ubora duniani linaweza kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga?

Unahishiwaje wakati wenyewe ndio wanatengeneza!
Hayatengenezwi at Zero Cost but at a very higher cost na kwahiyo always zitakuwa kwenye limited supply hata kama bajeti yao ya kijeshi yote watahamishia huko!
 
!
!
Hawa Jamaa Wana Mfumo Wao Kama Ule Wa Kuvunja Matofali Kwa Kichwa. Hayo Makombora Watayasambaratisha Kwa Vichwa Mpaka Msiamini! Tuko Vizuri Sana Yaani.
 
Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.

Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?

Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande huo.

Je sisi ni zaidi yao?
Labda jeshi la kiroho
 
Back
Top Bottom