Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Jeshi la Tanzania la6 Halafu Israel 16Duniani! SijakuelewaKwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.
Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?
Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande huo.
Je sisi ni zaidi yao?
Hahaha hahaha..Kuna wanajeshi fulani huwa wanavunja tofali kwa mikono
Na kubeba magogo sasa hiyo teknik sijui ikitokea vita wana I apply
Ova
Hizo details za jwtz kua ya 6 ulipata wapKwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.
Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?
Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande huo.
Je sisi ni zaidi yao?
Wewe umetumwa kutuchonganisha na jeshi letu. Sio bure.Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.
Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?
Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande huo.
Je sisi ni zaidi yao?
Yote tunayatungua na teknologia yetu ya sumbawanga,rukwa ,katavi ,na Tanga,Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.
Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?
Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande huo.
Je sisi ni zaidi yao?
Nadhani ungeangalia upya statistics za africa. Hizo jeshi namba sita bora duniani ni siasaKwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.
Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?
Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande huo.
Je sisi ni zaidi yao?
Sasa mzee wewe mtu anavunja tofali sawa Ni mafunzo mojawapo ya kujihami..Mwanangu mbn umecheka 😄
Ova
Su ndiyo yule mwanajeshi kutwa kuwatembelea wasanii na kuwapongeza 😄Huyo mwanajeshi aliyesema ni la sita Kwa ubora duniani huenda akawa ni kichaa.
Ndiyo hapo sasaSasa mzee wewe mtu anavunja tofali sawa Ni mafunzo mojawapo ya kujihami..
Je kwa Mambo Kama ya jana namna Ile mayai yanavoshushwa hewani uvunjaji wetu wa matofali utasaidia nini..
Wenzetu wametuzidi Sana aisee..
We fanya Ile mizigo ya Jana ndo tunashushiwa sie si hatari.