Kila wiki wanatoa hizo drama22 April 2025
Ouagadougou, Burkina Faso
Communique /Taarifa kwa Umma
Vyombo vya usalama Burkina vimeweza kubaini na kuvunja njama za mapinduzi zilizoongozwa na askari mtoro Bahare Abdaraham..
View: https://m.youtube.com/watch?v=5rYlXUHfhCYNjama hizo za mapinduzi zilipangwa kushawishi baadhi ya askari wa jeshi la taifa washiriki, huku viongozi wa njama hizo wakiwa wamejichimbia Abidjan Ivory Coast ...
Communique inataka wananchi wote kuwa watulivu na kuwa macho kuripoti mara moja kwa vyombo vya usalama watapoona kitu au watu wanaowashuku kuwa na mienendo isiyoeleweka
View attachment 3312572
Kiongozi wa kijeshi Captain Ibrahim Traoré wa Burkina Faso
Dogo soon wanamla kichwa Putin hawezi kumpiga tafu kikinukaCaptain T awezi kutoboa ni mpaka akaubaliane na wanachotaka mabeberu.
Kila wiki wanatoa hizo drama
And btw, most of drama online kuhusu jamaa sio za kweli
Ni suala la muda tu utashangaa kitachotokea shida ukiwafukuza wakubwa kwenye meza kuu lazima wakuadhibu usivyotarajiaKila wiki wanatoa hizo drama
And btw, most of drama online kuhusu jamaa sio za kweli
Anajivunia Putin lakini Putin awezani na harakati chafu za Africa.Dogo soon wanamla kichwa Putin hawezi kumpiga tafu kikinuka
Thanks for the info mkuuHii ni communique kutoka serikali ya Burkina Faso kuthibitisha tetesi zilizokuwa zimeenea. Sasa ni rasmi ndiyo maana communique officiel imetolewa kutaja wahusika, nchi zinazofadhili, kuwezesha mipango iliyofeli.