Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Mmeanza ramli chonganishi 😹Hata mzee wetu alofanywa the same na wasiompenda, it wasn't a natural death.
Sote tunajua Covid ndo imemuondoa baada ya kumpiga na kushambulia moyo..!!
Mmeanza ramli chonganishi 😹Hata mzee wetu alofanywa the same na wasiompenda, it wasn't a natural death.
Nyie tulieni mle ugali na uduvi mshushie maji baridi nusu little. Haya mambo yana wenyewe 🤣Bado sisi
Kuna habari nilisoma kasalimika mara kibao na hayo mapinduzi yanakuwa funded na wazungu ila watekelezaji ni wamatumbi wenzie.Hao wapigwe wapuuzi, wamepata mtu sahihi wa kuendesha nchi yao halafu wanaleta tamaa..!! Pumbavu
ScapegoatMmeanza ramli chonganishi 😹
Sote tunajua Covid ndo imemuondoa baada ya kumpiga na kushambulia moyo..!!
The Young Man Will Be Killed Soon. Kuna dhambi mbaya sana ya kurithi BukinabeJeshi la Burkina Faso lasema lilizuia njama 'kuu' ya mapinduzi.
Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imesema ilitibua "njama kubwa" ya kumpindua kiongozi wa kijeshi Kapteni Ibrahim Traoré, huku jeshi likidai kuwa wapangaji hao walikuwa na makao yao katika nchi jirani ya Ivory Coast.
Waziri wa Usalama Mahamadou Sana alisema jaribio la mapinduzi liliongozwa na wanajeshi wa sasa na wa zamani wanaofanya kazi na "viongozi wa kigaidi". Nia ilikuwa kushambulia ikulu ya rais wiki jana, aliongeza.
Lengo la mpango huo lilikuwa "kupanda machafuko kamili, na kuiweka nchi chini ya usimamizi wa shirika la kimataifa", Sana ilisema kwenye televisheni ya taifa siku ya Jumatatu.
![]()
Burkina Faso army says it foiled 'major' coup plot
The plotters, some ex-army officers, hatched the plan in Ivory Coast, the authorities say.www.bbc.com
Chai ujanywa, umekaa kuilaani Bukinafaso.Burkina Faso imelaaniwa
Hao wamatumbi wenzie wapuuzi, wamuache kamanda ajenge nchi..!!Kuna habari nilisoma kasalimika mara kibao na hayo mapinduzi yanakuwa funded na wazungu ila watekelezaji ni wamatumbi wenzie.
Huo ndio unaitwa uhaini, Lissu alipanga kuvamia ikulu?Capitalist NI wanafiki Sana na ndio maana jamaa alisusia mualiko WA trump .
Traore NI mfano WA kuigwa Africa nzima
DENI la Taifa NI trillion Mia .
Kuna siku NCHI yetu ITAUZWA .
Mrusi yupo nyuma yake! Hakuna wa kumtingisha.Alivyoingia ndivyo atakavyotoka
Hata Assad mrusi alikuwa nyuma na mbele yake. Na pembeni yake alikuwa Ayatollah.Mrusi yupo nyuma yake! Hakuna wa kumtingisha.
Kama ccm ifanyavyoShida iliyopo ni kwamba huyo kijana anapenda sana madaraka na sifa hivyo hatakuwa tayari kumuachia mtu mwingine aongoze kwa maana hiyo ni kwamba atajigeuza raia na kuitisha uchaguzi feki kisha atangazwe mshindi lengo atawale milele na hapo ndipo shida itakapoanzia.