Jeshi la Burkina Faso lasema lilizuia njama 'kuu' ya mapinduzi

Hata mzee wetu alofanywa the same na wasiompenda, it wasn't a natural death.
Mmeanza ramli chonganishi 😹
Sote tunajua Covid ndo imemuondoa baada ya kumpiga na kushambulia moyo..!!
 
The Young Man Will Be Killed Soon. Kuna dhambi mbaya sana ya kurithi Bukinabe
 
Shida iliyopo ni kwamba huyo kijana anapenda sana madaraka na sifa hivyo hatakuwa tayari kumuachia mtu mwingine aongoze kwa maana hiyo ni kwamba atajigeuza raia na kuitisha uchaguzi feki kisha atangazwe mshindi lengo atawale milele na hapo ndipo shida itakapoanzia.
 
Kama ccm ifanyavyo
 
Tawala za kijeshi ndio zinaonekana kukubalika kwa sasa, zinaonekana ni za kizalendo zaidi kuliko za kiraia. Tawala za kiraia zinaonekana zimejaa janjajanja nyingi na ukwapuaji mwingi wa mali za umma. Wananchi wanazifurahia tawala za kijeshi zaidi, wanaona ni afadhali kuwa na tawala za namna hizo ili mali za nchi zao zilindwe. Nchi zingine zenye chaguzi za hovyohovyo zinatamani sana wanajeshi wapindue nchi waongoze wao kuliko kuwa na chaguzi zilizojaa udanganyifu na ukiukaji wa haki za binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…