Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

Burundi anajua kabisa akiacha congo iwe kichaka cha m23 basi burundi ndo itakuwa Base kuu ya hichi kikundi cha kihuni m23 kwahiyo lazima watumie nguvu kuwafukuza mbali zaidi na mipaka yao
 
Hivi kwanini mnawachukulia warundi poa tu?
Kuna nchi zinajidhalilisha zenyewe tu...kama hao DRC li nchi likubwa watu kibao halafu anatolewa kamasi na wanamgambo.......mtu askari wa jeshi lake anamlipa sio juu ya $100 halafu wale mamluki wa romania anawalipa $5000 hapo lazima ujitakie mwenyewe kujizalilisha kwa kadamnasi.......hao Burundi walianza 1 na Rwanda ila angalia hizo nchi 2 zilivyo kwa sasa
 
Burundi anajua kabisa akiacha congo iwe kichaka cha m23 basi burundi ndo itakuwa Base kuu ya hichi kikundi cha kihuni m23 kwahiyo lazima watumie nguvu kuwafukuza mbali zaidi na mipaka yao
Na Kagame anajua upande ule mrundi akiwa na nguvu basi wale jamaa wa fdlr watapata nguvu zaidi drc na watamletea shida Rwanda hapo lazima kinuke zaidi ya sasa
 
Unawlewa cost ya 16B $ za rwanda wameipata kwa kuua watu milion 12
 
mkuu ww kichwa navokuaminia hujui hii!!

Hata uongozi wa serikali ya rwanda huujui??
hujawai sikia hata Apartheid in rwanda??
Kwasababu Rwanda ya sasa Vitambulisho "indangamuntu' haviiandiki Kabila la Mtu bali vinaandika Nationality ambayo ni Mnyarwanda na wote wanaongea Kinyarwanda na wote wana utamaduni mmoja kama ni Inzoga wote wanapenda Inzoga na wote wanapenda Amata yaani Maziwa.

Swali langa wewe Mtanzania mwenzagu unaweza kuwatofautishaje kuwa yule ni hivi yule ni vile?!

Indangamuntu haina sehemu inayoandikwa UKABILA wa Mtu tofauti na ilivyokuwa Karangamuntu


Karangamuntu ya zamani Rwanda ilikuwa inaandika hadi Kabila la mtu na ndio ilikuwa rahisi kwa Interahamwe na Jeshi la zamani la Rwanda kufanya Mauaji ya Kimbari dhidi ya Jamii za Watutsi wa Rwanda.

Wasiwasi wangu nadhani hata Burundi Karangamuntu yao bado inaonyesha Ukabila wa mtu kitu ambachi ni HATARI kwakweli.
 
Huko pamoto sana..mimi naona kinachoendelea ni vita ya wahutu na watusu nothing more tuwe makini sana tusije kuunga upande wowote ule acheni wamalizane wenyewe huko..
Siyo kweli.
Kagame kimsingi amekuwa ni kiongozi ambaye wakati wote ametamani kupataeneo zaidi kupitia vita. Ili kulifikia hilo, kila palipo na idafi kubwa ya watusi, hupenda kuwatumia hao kuamzisha chokochoko dhidi ya mataifa jirani. Hata ilija kitokea Tanzania ikawa na watusi wa kufikia idadi angalao milioni 1, lazima awatumie hao kuanzisha vurugu akilenga kuyabeba maeneo ya mpakani.
 
Tujikumbushe tena Idiolojia ya Hutu Power ya FLDR.
Hutu Power is an ethnic supremacist ideology that asserts the ethnic superiority of Hutu, often in the context of being superior to Tutsi and Twa, and therefore, they are entitled to dominate and murder these two groups and other minorities.
 
Kuna research nyingi zitafute zimefanywa Reanda! ukabila upo umejaa hata humo twitter wanaitana mbwa (hutu) ni ww tu unaamini haya maigizo ya kagame! lakini kama unataka kujua ukweli utaupata ukiutafuta
 
Hiyo ilikuja miaka mingi ya oprression!! ndio ilitengeneza ideology za ivo!!
Ipo had leo kutokana na wanayofanyiwa.
 
Hiyo ilikuja miaka mingi ya oprression!! ndio ilitengeneza ideology za ivo!!
Ipo had leo kutokana na wanayofanyiwa.
Hiyo Idiolojia ilitengenezwa na Theoneste Bagosora wakati anasisi Interahamwe na final solution.

Na kuna habari pia zinasema hiyo Idiolojia iliasisiwa na Hayati George Kayibanda himself.
 
Hiyo Idiolojia ilitengenezwa na Theoneste Bagosora wakati anasisi Interahamwe na final solution.

Na kuna habari pia zinasema hiyo Idiolojia iliasisiwa na Hayati George Kayibanda himself.
Mkuu wa interharamwe alikua ni mtusi!

Mkuu uko nyuma ya muda😂
 
Sasa kama unatetea mauaji ya watu ili kupanda kiuchumi ! Nitakuelezea nn uelewe!
Wewe ni shetani na shetan huwa haelewi
Kaka shetani likes this..........kwani hao wanajeshi wa Drc na washirika wao huko uwanja wa mapambano hawaui au wanakata mauno tu..........huu mwaka atajulikana huyo shetani na Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…