Mtu kama wewe, kama wewe! Nilitaraji ungelikuwa mstari wa mbele kuunga mkono watu ambao wanaowaambia ukweli jamii ya watutsi jinsi walivyo na mienendo mibaya dhidi ya jamii nyenginezo na hapa Tz imedhihirika hilo!
Watutsi ambao tuliwachukulia kama jamii yetu na tukawapa uraia kama watanzania.
Ila wengi wao angalia malipo wanayotupatia: Wapo watiifu sana kwa Rwanda kuliko Tanzania. Lolote litakalozuka baina ya Rwanda na Tanzania mara zote wapo upande wa Rwanda.
Na mfano ni huyo Bw.
imhotep
Sijaanza kumfuatilia leo wala jana! Bali miaka.
Na mara ra zote msimamo wake upo upande wa Rwanda popote patakapokuwa na msuguano na Tanzania. Na mara zote hajifichi kumsifu PK.
Halafu unanihoji mimi kuutilia mashaka uraia wake?
Tunaweza tukatofautiana kwenye misimamo kwenye siasa za ndani ya nchi lakini linapofika suala la vitisho vya nje kwa taifa raia halisi atapambania taifa lake na si vinginevyo!
Huyo si mtanzania. Ikiwa kama wewe unakubaliana na misimamo yake basi na wewe ni miongoni mwao! Wewe pia si mtanzania.