Soviet ilivunjwa kwa vita ya Russia na Georgia wala Taliban haihusiki.Russia walitandikwa na Taliban wakati Osama alikuwa bado kijana barobaro hadi Urusi wakatoroka Afghanistan kwa kilio kikubwa. Walipoteza wanajeshi wengi na mali nyingi. Wanahistoria wanasema kuwa vita hio ilichangia pakubwa kuvunjika kwa Soviet Union.
Haya mazungumzo hayataki pupa. Hapa ni wazee tu wanaoruhusiwa kuongea. Nyie watoto nendeni kacheze huko nje, wakati wa kula ukifika tutawaita.
Poor you.Kula yenu ni tabu mpaka msaada wa warabu ndio mwende chooni.Je huo ukuta mtauweza?Uganda hawana border na Somalia kwa hivyo wanaweza winda Shabab na kuwazaba makonde na Shabab kukosa jinsi ya kulipiza kisasi. Sisi kwa bahati mbaya tuna border na Somalia ya zaidi ya kilomita mia tano na border hio haina fence wala ukuta wowote na KDF haiko katika kila eneo la border. Hapo ndio Kenya inastahili kujirekebisha na kujenga ukuta wa mawe wa mita tano na kuweza ulinzi wa kutosha hata kutumia drone. Lakini hapa Afrika mawazo chanya kama haya hayapewi uzito.
ISIS inaelekea kumalizwa ndan ya Syria.Iran inapigana na Isis huko Syria ila Isis kwa sasa haina nguvu na pia Iran inalinda border yake kwa ujasiri sana. Hata Kenya ikilinda border yake mashambulizi yataisha lakini ugaidi Somalia hautaisha. Pia Iran imepigwa mabomu na magaidi mara kadhaa ila wamedhibiti ulinzi vizuri ndani ya border. Urusi pia wamepigwa na magaidi ila wameweza kuwadhibiti ndani ya mipaka ya nchi ila hizi nchi haziwezi kumaliza ugaidi nje ya mipaka yao.
Nenda kasome vita baina ya Urusi na Taliban iliyotokea ndani ya nchi ya Afghanistan mwaka wa 1980s. Pengine ulikuwa hujazaliwa kwa hivyo hukumbuki kilichowakuta Soviet Union.Soviet ilivunjwa kwa vita ya Russia na Georgia wala Taliban haihusiki.
Hiyo Taliban yako ilitaka kuingia Russia kwa kupenyezwa kupitia border ya Georgia na Russia ila uliza kilichowakuta.
Walirudi mafichoni mammaye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani masikini kushinda nyingine?Poor you.Kula yenu ni tabu mpaka msaada wa warabu ndio mwende chooni.Je huo ukuta mtauweza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Wakenya ni Ndugu Zetu wa Damu.Tanzania na Kenya Ni ndugu acha kuwasema vibaya kdf Hilo ni jeshi rafiki na Mara nyingi tunafanya luteka ya pamoja ya kijeshi bravo kdf bravo jwtz
Khaaa vita ya Afghanistan haimuhusu.Nao pia Russia wanaogopa kukanyaga Afghanistan. Wanaelewa kilichowakuta huko.
Soma taarifa yako ambayo nilijibu kwa hiyo "statement", don't be so cheap?. Wewe umezungumzia kuhusu Uganda kutoshambuliwa na Alshabaab kwasababu haijapakana na Somalia. Vipi kuhusu Ethiopia iliyopakana na Somalia, kwanini haishambuliwi?Hatuna vita na Ethiopia
Iran Suicide Bombing Kills 27 Revolutionary GuardsISIS inaelekea kumalizwa ndan ya Syria.
Umebakia mji wa Idlib kukombolewa.
Na mind you hakuna bomb lililowahi kupigwa ndan ya mpk wa Iran na likapenya toka dunia iumbwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu mbona ni rahisi sana mkuu.Sisi na nyinyi ni nani anayeomba msaada wa chakula?Kipi bora tajiri ombaomba ama maskini anayejitegemea? (means anakula anashiba)Je kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani masikini kushinda nyingine?
Taliban ndio ilizaa Al qaeda. Jifunze historia dogo.Khaaa vita ya Afghanistan haimuhusu.
Yeye alikua ana kaz ya kumuondoa Taliban basi na sasa Taliban wako zao Afghanistan huko ya Afghanistan hayawahusu.
Ila mind u mrusi apewe tender aisafishe Taliban ni mwez au miez kadhaa tu Taliban inasahaulika.
Na Osama alikua Alqaeda sio Taliban.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah asee umenidharau sana.Nenda kasome vita baina ya Urusi na Taliban iliyotokea ndani ya nchi ya Afghanistan mwaka wa 1980s. Pengine ulikuwa hujazaliwa kwa hivyo hukumbuki kilichowakuta Soviet Union.
Afadhali tajiri anayeomba kwani pesa yake anaitumia kwa mahitaji mengine. Tofauti na masikini anayekula pesa yake yote na kubaki kuwa masikini wa kutupwa.Jibu mbona ni rahisi sana mkuu.Sisi na nyinyi ni nani anayeomba msaada wa chakula.Kipi bora tajiri ombaomba ama maskini anayejitegemea (means anakula anashiba)
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeheee kijana usinigeuze mtoto.Taliban ndio ilizaa Al qaeda. Jifunze historia dogo.
Nimeshawahi kuenda Ethiopia mwaka wa 2017. Ulinzi uliopo ndani ya nchi hio ni ya maajabu. Nilitumia basi kusafiri kutoka Moyale hadi Addis kwa siku mbili. Tulisimamishwa na polisi kila baada ya kilomita kama thelathini na kuagizwa kushuka ili bag zetu zifanywe search. Hamna Alshabab anayeweza kubeba bomb au bunduki kupitia basi au hata gari huko. Kenya na Tanzania sote tufuate mkondo huo. Pia wana nyumba kumi. Security yao iko sawa. Natumai umepata jibu.Soma taarifa yako ambayo nilijibu kwa hiyo "statement", don't be so cheap?. Wewe umezungumzia kuhusu Uganda kutoshambuliwa na Alshabaab kwasababu haijapakana na Somalia. Vipi kuhusu Ethiopia iliyopakana na Somalia, kwanini haishambuliwi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni sababu ya kuendelea kubishana na wewe.Unaezekana uko na mwili mkubwa na Elimu kubwa .Lakini nasikitika kusema uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana brother.Tuishie hapo.Afadhali tajiri anayeomba kwani pesa yake anaitumia kwa mahitaji mengine. Tofauti na masikini anayekula pesa yake yote na kubaki kuwa masikini wa kutupwa.
Chechen terrorists?Unaifaham Russia???
Magaidi wote wanaogopa kukanyaga pale wanaelewa nn kitawakuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Russia ya sasa japo ni hatari na moto wa kuotea mbali lakini pia wanaeza chezea kichapo wakija na kifua. Gaidi hapendi watu wa vifua. Gaidi unamshinda tu kwa kutumia inteligensia sio silaha pekee. Ndiposa marekani wameanza kutumia inteligensia kuua Al Baghdadi na gaidi wengine wakuu. Huu mchezo hautaki kukingiana kifua inataka careful planning and execution.Dah asee umenidharau sana.
Mwaka huo mm nisizaliwe???
Kilichochangia Soviet kuvunjika kwa asilimia kubwa ni vita ya Georgia na Russia tena Georgia ilishinda kwa kusaidizwa na US ndipo ikajihengua Soviet na nchi zingine zikafuata mdogo mdogo ikiwemo Serbia n.k n.k .
Naweza kukubali Taliban waliwasumbua Russia ndan ya Afghanistan ila Taliban walipigika shaba waliposogelea mipaka ya wasoviet.
Na ww unaizungumzia Russia ya miaka ya 1980s ila itizame Russia ya sasa ambaye anapotia mguu sehem watu hutetema.
Sent using Jamii Forums mobile app