Kendrick Rama
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 409
- 456
kazi ya KDF ni kulinda mipaka ya nchi, sasa kama wanashindwa kulinda mipaka si ndio udhaifu wenyeweIran inapigana na Isis huko Syria ila Isis kwa sasa haina nguvu na pia Iran inalinda border yake kwa ujasiri sana. Hata Kenya ikilinda border yake mashambulizi yataisha lakini ugaidi Somalia hautaisha. Pia Iran imepigwa mabomu na magaidi mara kadhaa ila wamedhibiti ulinzi vizuri ndani ya border. Urusi pia wamepigwa na magaidi ila wameweza kuwadhibiti ndani ya mipaka ya nchi ila hizi nchi haziwezi kumaliza ugaidi nje ya mipaka yao.
Kuna utofauti wa kupigwa kombora la Masafa marefu au ya kati na kufa kwa Bomu la muhanga.Kwani bomu ya muhanga sio bomu? Kwani hiyo ni kucheza densi?
Bob Saudi Arabia baba ake Osama alienda kuanzisha ama kuendeleza maisha baada ya kutoka Afghanistan.Baba ya Osama ambaye pia aliitwa bin Laden ndiye alikuwa mmiliki wa kampuni kubwa zaidi ya ujenzi huko Saudia. Haya ni mambo unayoweza kuyasoma hata kwenye Wikipedia. Sio lazima upinge kila kitu.
Nyumba kumi is strictly security, wabongoKwa sababu sisi hatuna umbea. Kila mmoja ana shughuli zake. Hatuna time ya kunusa nusa leo jirani amepika nini?
Kuiteka kismayu tu tayari ni zaidi ya zile mission zenu za jwtz kw wale wahuniUmeulizwa ni mission gani KDF iliyifanikisha?, unajua maana ya "Mission completed??". Lengo la KDF lilikua ni lipi, je limekamilika au " it is on going exercise, which might end up to either competed, abandoned or failure?. KDF ilishindwa South Sudan na ikajitoa kwa aibu kubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Collabo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]What about Idd Amin, Portuguese in Mozambique, Ian Smith in Zimbabwe and Namibia?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi. Osama sio muarabu kamili. Lakini umekosea mahali. Babake alitokea Yemen. Nimesoma kwenye WikipediaBob Saudi Arabia baba ake Osama alienda kuanzisha ama kuendeleza maisha baada ya kutoka Afghanistan.
Ila si mwarabu ni MuAfghanistan.
Bin maana yake mtoto wa flan,kwahyo bin laden maanake mtoto wa Laden. ukoo wa Osama unaitwa Laden.
Asa umesikia WAP mwarab akiitwa Laden?
Hilo jina la kihajami kabbisa.
Na km ulikua hujui mama yake Osama ni bibi mdogo maana mzee Laden alikwishaoa kabla ya kuja Saudi Arabia na kumuoa mamaye Osama.
Hata ww waweza enda USA ukaanzisha maisha na ukachukua uraia kule ila kiasili ww ni luhya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa sawa mkuu.Umeongea kwa uchungu saana na kinyonge hebu agiza dew drop nitakulipia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuiteka kismayu tu tayari ni zaidi ya zile mission zenu za jwtz kw wale wahuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hii pia hujui?, unanisikitisha sana Tony254, nenda katika "World peace Index ya 2019 utaona orodha ya nchi zote duniani. Tanzania ipo namba 54 duniani, Kenya ipo namba 123.Hio data umetoa wapi?
Sasa subirini Alshabaab waendelee kuwatia vidole.Kwa sababu sisi hatuna umbea. Kila mmoja ana shughuli zake. Hatuna time ya kunusa nusa leo jirani amepika nini?
Hivi baba yako ana akili kweli au ni mwehu kama wewe?"Engage is Crossfire" umelemewa na kizungu. Heri kukosa macho kuliko kukosa akili...
Mtu anaeisema kdf vibaya anaisema Kenya ambayo ndio the bigest Democratic country in East Africa kitu ambacho hakipo kwenye war arena nchi ya kidicteta kuishinda nchi ya kidemocrasia msidanganywe na Vietnam war !Kweli Wakenya ni Ndugu Zetu wa Damu.
Hatutaki kugombanishwa.
Hao Waethipia wanao kufanya Askali na kuua raia wa Kenya huenda ni majambazi tu au Waasi wanaovaa sare za Jeshi la Ethiopia.
Fanyeni Uchunguzi Kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
IdiotMimi ni mtanzania wa damu Ila bet Leo hii tz ikipigana na Kenya Mimi Nitakuwa upande gani!?
Askari wa Tanzania ambao watakuwakuwa polisi waliochanganywa kwenye jw wote tukiwaona tutawalengesha kea adui kdf kwasababu huku tz polisi Wanauwa wananchi kwahiyo cc wenyewe watz tutaasi mission za jeshi letu mpk polisi waache kutuua na kututeka ndani ya taifa letu Tanzania.
Wajinga nyie mmeligawa taifa Leo hii Tanzania na Kenya wakiingia vitani tutapigwa kirahisi kwasababu zifuatazo.Jamaa wenyewe hata chakula hawana halafu bado mnawauaua mnapata sana dhambi waethiopia