Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Rais Uhuru ameshasema jeshi halitarudi hadi Shabab wamalizwe kabisa. Lakini siamini kwamba ugaidi unaeza kumalizwa kabisa. Marekani wamepigana na Taliban huko Afghanistan kuanzia mwaka wa 2001. Yaani miaka kumi na tisa na vita bado inaendelea. Sisi tumekuwa Somalia kuanzia mwaka wa 2011. Yaani miaka tisa sasa na bado vita inaendelea. Wacha tutaona siku za usoni itakuwaje.Nyie rudini nyumbani imarisheni mipaka yenu,
Hayo mengine sijui ya kukamata miji mingine watajua wao huko hadi siku watie akili.