100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
"Tunatangaza leo kwamba popote Wamarekani walipo, tuko karibu nao, na watahisi uwepo wetu hata zaidi katika siku za usoni" yalikuwa ni maneno ya mkuu wa walinzi wa maji wa Iran bw Alireza Tangsiri katika sherehe huko kusini mwa Iran.
Pia alieleza kwa msisitizo kuwa "Iran hatamwabudu adui yoyote"
"Kujipanua kiulinzi wakati unabaki kujitetea ni asili ya kazi yetu" alisema kamanda mkuu wa Meja Jenerali Hossein Salami
Kulingana na Salami, jeshi la Walinzi lilikuwa limeelekezwa kupanua nguvu ya majini ya Iran vya kutosha hivyo kuruhusu uhuru wa nchi na uadilifu, kulinda masilahi ya majini na hatimaye kumwangamiza adui(US).
Ikiwa ni Meli ya nne imeingia Iran kati ya 5, US amezionya nchi ambazo zitajihusisha na kutoa msaada ya juu usafirishaji huo wa mafuta toka Iran to Venezuela. Ikiwa US aliweka vikwazo juu ya Venezuela na Iran, lakini Irani na Venezuela wamesema hapana kwa Amerika kwa niaba ya ulimwengu wote kwa kupuuza vikwazo vya Amerika na hivyo kufanya biashara huru.
Iran inaongeza nguvu ya ulinzi wa majini, vumbi lita timka majini.