Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akapambane na HIZBULLAH kwanza anauwezo wakumpiga MUAJEMI huyu[emoji3][emoji3]Tutaelewana tu ngoja tuoneshane makali.
Nawe nioneshe popote ambapo pua ya Iran ishawahi kuwashambulia wanajeshi wa Israel, ukitumia Hezbollah hiyo sio Iran. Na hata hivyo Hezbollah inatandikwa kila wakilazimisha kuleta ujinga. Eti anashambulia Syria, sasa kelele za Iran kushambulia kambi za US mlikuwa mnatoa za nini.View attachment 1470351View attachment 1470352View attachment 1470353