Jeshi la Iran wameonya US baada ya kupokea vifaa vya mapambano vya majini zaidi ya 100

Nchi ya IRAN inapatikana SYRIA [emoji16][emoji16]

ISRAEL anashambulia sehemu yawanamgambo wa IRAN waliopo SYRIA halaf anajisifu kama anaweza kuishambulia IRAN kama unavyodai aishambulie IRAN kama IRAN asiwapige wanamgambo wanaopelekewa SILAHA pale SYRIA na IRAN

Apige ndani yamipaka ya IRAN hapa tutasema kweli anaweza ila kama atakua anaishambulia SYRIA atakua coward tu

Kwani wanamgambo wangapi wanaoungwa mkono na US wanachapwa na IRAN ?!
Kwani nchi ya US inapatikana Syria?
 
Kna mtu anakwambia kila siku IRAN anapigwa SYRIA wakat IRAN na SYRIA nimataifa mawili tofauti kabisa

Kama wanaweza IRAN kashasema na anasema atakaejaribu kuishambulia JAMHURI YA KIISLAM YA IRAN hatoachwa nawanaelewa kweli kweli kama hatoachwa.....
Syria ni mshira mkubwa wa Iran. Israeli na US walianzisha IS maksudi lili waweze kuangusha utawala wa Bashar Al Asaad,na kuweka pandikizi katika Syria ili ushirika na Iran Usiwepo..Kwa sababu Makombora ambayo Hezbollah anatumia kumshinda Israel ni Kutoka Iran na Usafirishwa kupitia Syiria... Angalia ramani ya Levant
 
Upo sawa kabisa mkuu.
 
Na kiulisia Vita vya Ndani ya Syiria dhidi ya IS ni Usaidizi wa Iran na Hezbollah ndo umefuta...na hii ndo Hasira iliyomuondoa Qassem Soleimani.
 
Brain Trauma usiwe unaongelea kishabiki, Trauma inaweza kuwa ni permanent brain damage ikapelekea coma and next ni kifo, i think you know nothin about it kama huongelei kishabiki, kasome madhara ya brain trauma, usiwe unaongea kishabiki.
Cases za TBI ni za kawaida katika jeshi na idadi kubwa ni cases nyepesi pamoja na concussions (mild TBIs). Severe cases ni chache sana.

Nayasema haya kulingana na ripoti ambazo zimekuwa zikitolewa na Idara ya Ulinzi ya Marekani (DoD) zinazohusisha majeshi yake yaliyopo duniani kote. Kama unadhani naongea kishabiki, sawa sikukatazi kudhani hivyo!
 
Nchi ya IRAN inapatikana SYRIA [emoji16][emoji16]

ISRAEL anashambulia sehemu yawanamgambo wa IRAN waliopo SYRIA halaf anajisifu kama anaweza kuishambulia IRAN kama unavyodai aishambulie IRAN kama IRAN asiwapige wanamgambo wanaopelekewa SILAHA pale SYRIA na IRAN

Apige ndani yamipaka ya IRAN hapa tutasema kweli anaweza ila kama atakua anaishambulia SYRIA atakua coward tu

Kwani wanamgambo wangapi wanaoungwa mkono na US wanachapwa na IRAN ?!
Mbona unajipinga mwenyewe. Sasa kama Iran anawapa silaha magaidi unasemaje Israel asiwapige. Unampangia matumizi ya silaha zake, kama unataka wachakazwe wajikusanye tena waende wote wapigwe watulie. Unamuita Israel coward? Ana maadui wanamzunguka kila kona na anawachapa kila siku. Iran akavamie pale badala ya kupeleka silaha kwa magaidi.
 
IRAQ hajawahi kutengeneza silaha wacha kutulisha matango pori MKUU scud alizifanyia reverse tu

IRAQ alipiga kambi zajeshi wakati wa VITA halaumiki IRAN kapiga kambi wakati ambao hakuna vita

IRAQ kumfananisha na IRAN wakat huyo IRAQ alipigana na IRAN zaidi yamiaka mitano halafu ulitegemea ampige US [emoji23][emoji23][emoji23]
Asije akalingamisha nchi yyote katika Middle East na Iran kwenye technologia sio tuu ya silaa bali ya kila kitu....Science ni moja ya fundamental za Mapinduzi Y Kiislam ya 1979......Irak aijawai hata kuunda baruti ...lkn Iran leo hii ina mfumo wa kulinda Anga lake wenye uwezo zaidi ya S300 na Patriotic......Hivi akuskia Ile Dtone iliyoangushwa nini?
 
IRAQ hajawahi kutengeneza silaha wacha kutulisha matango pori MKUU scud alizifanyia reverse tu

IRAQ alipiga kambi zajeshi wakati wa VITA halaumiki IRAN kapiga kambi wakati ambao hakuna vita

IRAQ kumfananisha na IRAN wakat huyo IRAQ alipigana na IRAN zaidi yamiaka mitano halafu ulitegemea ampige US [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kipi kizito zaidi:
1.Kupiga kambi wakati wa vita wakati wakijua utashambulia tu maana mko vitani, na bado ukaua wanajeshi wa adui (Iraq,1991).
2. Kupiga kambi wakati wa amani wakati wanacheza draft na hujaua hata mmoja, umeleta madhara ya Idris Sultan (Iran,2020).

Kama silaha za Iraq ni reverse, hata hizo silaha za Iran zote mlizoweka tangu uzi unaanza sijaona ya kwake, zote kareverse kama unabisha nitajie silaha yoyote mliyoweka kwenye uzi huu niwape origin version yake. Acha kusumbua watu na hoja za chekechea.
 
ISRAEL kamshambulia IRAN lini !?

ISRAEL anamshambulia SYRIA kila siku nakusisitiza Haitakuja Habari IRAN imeshambuliwa Utaambiwa vikosi vya IRAN vilivyopo SYRIA kama ISRAEL anaweza ashambulie IRAN ili wasimpe sapoti SYRIA kuishambulia SYRIA kwakigezo cha IRAN niutoto.
Sasa mnashangilia nini US kushambuliwa akiwa Syria, kwake pale?
Kila hoja unajipinga.
 
Marekani wana mstress Iran ili atengeneze na kununua silaha hii inaifanya nchi nyingine za kiarabu zipate wasiwasi na kuitegemea Marekani moja kwa moja na kununua silaha kwao na kuomba ulinzi hence they return income to USA, what an economy.
 
Mbona unajipinga mwenyewe. Sasa kama Iran anawapa silaha magaidi unasemaje Israel asiwapige. Unampangia matumizi ya silaha zake, kama unataka wachakazwe wajikusanye tena waende wote wapigwe watulie. Unamuita Israel coward? Ana maadui wanamzunguka kila kona na anawachapa kila siku. Iran akavamie pale badala ya kupeleka silaha kwa magaidi.
Unataka kusema Irani imeshawahi kuichakaza Marekani kwakuwa mahuuth wanaosaidiwa na Iran waliipiga Saudi Arabia inayosaidiwa na Marekani!?

Kama jibu ni hapana,basi hata Israeli haijaipiga Iran kule Syria
 
Iran ina Safari ndefu kufikia modern ballistic missiles.Ni vigumu kuwalinganisha na Israel na USA.Lakini Kwa darajani la Nchi zilimzunguka na Middle East Iran Ipo juu Sana. Ni vigumu Marekani na washirika kuwashambulia Kwa sababu Kuna sababu kuu ya ki biashara
 
Syria ni mshira mkubwa wa Iran. Israeli na US walianzisha IS maksudi lili waweze kuangusha utawala wa Bashar Al Asaad,na kuweka pandikizi katika Syria ili ushirika na Iran Usiwepo..Kwa sababu Makombora ambayo Hezbollah anatumia kumshinda Israel ni Kutoka Iran na Usafirishwa kupitia Syiria... Angalia ramani ya Levant
Sahihi MKUU
 
hahahahaha hakika huu uzi waweza usoma mpaka ukaogopaa
nahisi hata Bwana Trump angeufikia huu uzi angeshangaa
watu wanayajua majeshi ya ughaibuni hususan America nje ndani
mpaka mbinu zao za kivita,zana zooote
za kivita pamoja na mipango yao ya baadae ya kivita
aiseeee kwa hili hongereni
 
Mbona unajipinga mwenyewe. Sasa kama Iran anawapa silaha magaidi unasemaje Israel asiwapige. Unampangia matumizi ya silaha zake, kama unataka wachakazwe wajikusanye tena waende wote wapigwe watulie. Unamuita Israel coward? Ana maadui wanamzunguka kila kona na anawachapa kila siku. Iran akavamie pale badala ya kupeleka silaha kwa magaidi.
IRAN hapeleki silaha kwamagaidi anapeleka Silaha kwanao taka kujilinda kama HIZBULLAH

IRAN wala hna mpango wakuvamia taifa lolote kilaleo anasisitiza ila anasema kama hatamuacha yeyote atakae ivamia IRAN

Hio ndio sera yaulinzi ya WAAJEMI sasa unataka IRAN akaivamie nchi gani wakatisera zake zipo wazi kama nizakujilinda sio kuanzisha ugomvi
 
Sasa kipi kizito zaidi:
1.Kupiga kambi wakati wa vita wakati wakijua utashambulia tu maana mko vitani, na bado ukaua wanajeshi wa adui (Iraq,1991).
2. Kupiga kambi wakati wa amani wakati wanacheza draft na hujaua hata mmoja, umeleta madhara ya Idris Sultan (Iran,2020).

Kama silaha za Iraq ni reverse, hata hizo silaha za Iran zote mlizoweka tangu uzi unaanza sijaona ya kwake, zote kareverse kama unabisha nitajie silaha yoyote mliyoweka kwenye uzi huu niwape origin version yake. Acha kusumbua watu na hoja za chekechea.
wewe ndio unahoja zachekechea sababu inajulikana wazi kama IRAN anajitegemea kisilaha karibu zote japokua zipo anazonunua kma yalivyomataifa mengine nahilo suala la IRAQ kama anatengeneza silaha ama aliwahi tengeneza silaha leta hapa MKUU.

IRAN sio IRAQ wala hao Waarabu unaomfananisha nao
global hawk ilipigwa namfumo gani wa IRAN kutoka wapi ule mfumo ?!

Bavar 373 inatengenezwa wapi ?!
 
Kwamba Stinger itaipiga B-2 angani? Hizo si ni silaha za kumpiga helicopters na ground attack jets kama Warthog.
Kwanza kule Iraq mfano tu, hawakudondosha Apache hata moja. Na hizo ATM hawakuharibu Abrams hata moja wakati walikuwa na ngonjera nyingi kabla ya vita kama nyinyi hapa.
Hizo speed boat ndo zipige aircraft carrier? Kwanza zina range gani, boti kama boti izifate carrier kule baharini ndani kabisa, na zipelekwe na nani? Yani shore based defense ndo unataka zitumike kwenye attack, hiyo imekuwa vita ya majirani kwani.
Saa ngapi nimesema Stinger inapiga b-2 mkuu?
Hizo boat zina capability za kupiga rockets, sasa unajua rockets zinasafiri 2km kama hizo laser za kwenye warship za US?
Apart from that Iran wana warships pia, but hizo tunawahurumia kwanza sio size yenu, kama mnadunguliwa stealth fighter na s-125 are you serious? 😂 😂 😂
 
Cases za TBI ni za kawaida katika jeshi na idadi kubwa ni cases nyepesi pamoja na concussions (mild TBIs). Severe cases ni chache sana.

Nayasema haya kulingana na ripoti ambazo zimekuwa zikitolewa na Idara ya Ulinzi ya Marekani (DoD) zinazohusisha majeshi yake yaliyopo duniani kote. Kama unadhani naongea kishabiki, sawa sikukatazi kudhani hivyo!
Ni sawa hata Trump alisema wana Headache tu, ni kawaida katika vita kutoa takwimu za uongo, but uhalisia unajulikana.
 
Back
Top Bottom