Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hayo yasikutishe MKUU ukubwa wabure tu huoHizo boat mimi ni mrefu kuzizidi ndizo mnasema wametoa onyo kwa Marekani. Hizo zina hata uwezo wa kutoka Mombasa hadi Unguja?
Hizo underwater vehicles US anazo miaka mingi. Russia ndo wanatisha na Poseidon zao.
Mtazame US hapa. View attachment 1465792
Kuna sheria sasa hivi hakuna mmarekani anataka nchi yake iingie kwenye vita na taifa lolote.Hata huyu mpuuzi aliepo mlisema wa action ila kumbe niwa twita tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahio atakapoluja huyo mzee mnaemuita wavutendo hio sheria itakua haipo ama itakua ipo likizo ?!Kuna sheria sasa hivi hakuna mmarekani anataka nchi yake iingie kwenye vita na taifa lolote.
.
Tatizo hamfatilii Marekani ilitaka kuingia vitani na Syria ikaendeshwa kampeni kubwa sana ya No war with Syria! Rais akiwa Obama Sasa hivi walitaka waichambange Iran ikaibuka tena campaign ya No war with Iran na bahati nzuri Rais aliitaka sana hii vita bad lucky kwake ni Congress ikamminya.
Siku America ikisimama ogopa sana hiyo siku Sir.
Ambacho hujui ni kwamba aircraft carrier hazijatengenezwa kwa ajili ya ku launch ballistic missiles, hizo tunasema ni air base iliyoko majini, zimetengenezwa kwa lengo kuwa mahala popote duniani wakihitaji kufika hilo dude liki tulia, hio ni sawa na base ya ndege.Hizo boat mimi ni mrefu kuzizidi ndizo mnasema wametoa onyo kwa Marekani. Hizo zina hata uwezo wa kutoka Mombasa hadi Unguja?
Hizo underwater vehicles US anazo miaka mingi. Russia ndo wanatisha na Poseidon zao.
Mtazame US hapa. View attachment 1465792
Hakuna wa kumtisha USA πΊπΈπΊπΈπΊπΈ,hao wanaojiimarisha wanahitaji miaka zaidi ya 50 kumfikia Marekani.Endelea kujidanganya ... Hii sio dunia ya miaka ya kiza.. Nchi nyingi zime elimisha watu wao na zimesha develop kiuchumi ...so huyo USA akijichanganya tu atageuzwa mbuzi wa sikukuu
Wenzie wana mtega aingie kwenye 18 wampige mande
Halafu wewe haujiulizi baada ya kukumbwa na mafuriko ya covid 19 hawajapata hata suluhisho ghafla yameibuka maandamano so unadhani mambo yana tokea kwa bahati mbaya eeeh !!!?
Hujui kuwa uchumi wake una simama na maadui zake wana zidi kujiimarisha zaidi
Ambacho hujui ni kwamba aircraft carrier hazijatengenezwa kwa ajili ya ku launch ballistic missiles, hizo tunasema ni air base iliyoko majini, zimetengenezwa kwa lengo kuwa mahala popote duniani wakihitaji kufika hilo dude liki tulia, hio ni sawa na base ya ndege.
Mfano wakitaka kutumaliza Tanzania wanakuja nalo hadi bahari ya hindi, then ndege vita kama f22 zinakuwa zinakuja dar hapo mnanyewa moto halafu zinakwenda ku load mzigo na mafuta mpaka uombe msamaha.
Carrier zikiwa na missile au silaha za mashambulizi, haziwezi kuwa kama hizo warships, au usifikiri itaweza battle kwa muda mrefu.
Ndio maana hizi meli zinakuwa na escort ya warships, hizi warships ndio zinakabiliana na adui, hata carrier ikiwa na missiles za kujilinda lazima itabidi wabane space kwa ajili ya missiles, kumbuka missiles zinachukua space, ndege zinahitaji fuel na silaha.
Ndege hio ni kama tanker ya mafuta, airport, ghala la silaha na pia sehemu ya maintanace, sasa uongeze na kitengo cha mashambulizi? you cant be serious.
Ku launch missile ni process, ikitokea wakirusha missile toka kwenye carrier, basi ndege itabidi zisimame zisiruke, imagine hicho kipindi mna andaa missile then adui ana wakuta, mnakuwa mmekwisha.
Boat za Iran ni kwa ajili ya kuongeza eneo la ulinzi na roots fupi za kwenye maji kwa ajili ya ulinzi, ila endapo hio carrier ikiwa ni threat usifikiri itapambana na boats, itapambana na missile za kutosha kama zile zilizotua kule Iraq, pia hadi kutumia hilo dude USA atakuwa karibu na maji ya Iran, na Iran atakuwa nyumbani, hapo USA carrier itaangamizwa.
Kumbuka hilo li carrier ni base tu kama ile iliyopigwa kule Iraq ila katika ulinzi linategemea warships.
....πππ...... Umejenga hoja nzuri sana.Ambacho hujui ni kwamba aircraft carrier hazijatengenezwa kwa ajili ya ku launch ballistic missiles, hizo tunasema ni air base iliyoko majini, zimetengenezwa kwa lengo kuwa mahala popote duniani wakihitaji kufika hilo dude liki tulia, hio ni sawa na base ya ndege.
Mfano wakitaka kutumaliza Tanzania wanakuja nalo hadi bahari ya hindi, then ndege vita kama f22 zinakuwa zinakuja dar hapo mnanyewa moto halafu zinakwenda ku load mzigo na mafuta mpaka uombe msamaha.
Carrier zikiwa na missile au silaha za mashambulizi, haziwezi kuwa kama hizo warships, au usifikiri itaweza battle kwa muda mrefu.
Ndio maana hizi meli zinakuwa na escort ya warships, hizi warships ndio zinakabiliana na adui, hata carrier ikiwa na missiles za kujilinda lazima itabidi wabane space kwa ajili ya missiles, kumbuka missiles zinachukua space, ndege zinahitaji fuel na silaha.
Ndege hio ni kama tanker ya mafuta, airport, ghala la silaha na pia sehemu ya maintanace, sasa uongeze na kitengo cha mashambulizi? you cant be serious.
Ku launch missile ni process, ikitokea wakirusha missile toka kwenye carrier, basi ndege itabidi zisimame zisiruke, imagine hicho kipindi mna andaa missile then adui ana wakuta, mnakuwa mmekwisha.
Boat za Iran ni kwa ajili ya kuongeza eneo la ulinzi na roots fupi za kwenye maji kwa ajili ya ulinzi, ila endapo hio carrier ikiwa ni threat usifikiri itapambana na boats, itapambana na missile za kutosha kama zile zilizotua kule Iraq, pia hadi kutumia hilo dude USA atakuwa karibu na maji ya Iran, na Iran atakuwa nyumbani, hapo USA carrier itaangamizwa.
Kumbuka hilo li carrier ni base tu kama ile iliyopigwa kule Iraq ila katika ulinzi linategemea warships.
Unataka kusema sijui silaha? Hebu soma last 30 comments nilikuwa nazungumzia nini.Ambacho hujui ni kwamba aircraft carrier hazijatengenezwa kwa ajili ya ku launch ballistic missiles, hizo tunasema ni air base iliyoko majini, zimetengenezwa kwa lengo kuwa mahala popote duniani wakihitaji kufika hilo dude liki tulia, hio ni sawa na base ya ndege.
Mfano wakitaka kutumaliza Tanzania wanakuja nalo hadi bahari ya hindi, then ndege vita kama f22 zinakuwa zinakuja dar hapo mnanyewa moto halafu zinakwenda ku load mzigo na mafuta mpaka uombe msamaha.
Carrier zikiwa na missile au silaha za mashambulizi, haziwezi kuwa kama hizo warships, au usifikiri itaweza battle kwa muda mrefu.
Ndio maana hizi meli zinakuwa na escort ya warships, hizi warships ndio zinakabiliana na adui, hata carrier ikiwa na missiles za kujilinda lazima itabidi wabane space kwa ajili ya missiles, kumbuka missiles zinachukua space, ndege zinahitaji fuel na silaha.
Ndege hio ni kama tanker ya mafuta, airport, ghala la silaha na pia sehemu ya maintanace, sasa uongeze na kitengo cha mashambulizi? you cant be serious.
Ku launch missile ni process, ikitokea wakirusha missile toka kwenye carrier, basi ndege itabidi zisimame zisiruke, imagine hicho kipindi mna andaa missile then adui ana wakuta, mnakuwa mmekwisha.
Boat za Iran ni kwa ajili ya kuongeza eneo la ulinzi na roots fupi za kwenye maji kwa ajili ya ulinzi, ila endapo hio carrier ikiwa ni threat usifikiri itapambana na boats, itapambana na missile za kutosha kama zile zilizotua kule Iraq, pia hadi kutumia hilo dude USA atakuwa karibu na maji ya Iran, na Iran atakuwa nyumbani, hapo USA carrier itaangamizwa.
Kumbuka hilo li carrier ni base tu kama ile iliyopigwa kule Iraq ila katika ulinzi linategemea warships.
Unatakiwa ujue kabla US akija kukushambulia anafanya aerial denial kwanza. Zile B-2 na B-1B Lancer hazipo kwa ajili ya kutalii angani.Ambacho hujui ni kwamba aircraft carrier hazijatengenezwa kwa ajili ya ku launch ballistic missiles, hizo tunasema ni air base iliyoko majini, zimetengenezwa kwa lengo kuwa mahala popote duniani wakihitaji kufika hilo dude liki tulia, hio ni sawa na base ya ndege.
Mfano wakitaka kutumaliza Tanzania wanakuja nalo hadi bahari ya hindi, then ndege vita kama f22 zinakuwa zinakuja dar hapo mnanyewa moto halafu zinakwenda ku load mzigo na mafuta mpaka uombe msamaha.
Carrier zikiwa na missile au silaha za mashambulizi, haziwezi kuwa kama hizo warships, au usifikiri itaweza battle kwa muda mrefu.
Ndio maana hizi meli zinakuwa na escort ya warships, hizi warships ndio zinakabiliana na adui, hata carrier ikiwa na missiles za kujilinda lazima itabidi wabane space kwa ajili ya missiles, kumbuka missiles zinachukua space, ndege zinahitaji fuel na silaha.
Ndege hio ni kama tanker ya mafuta, airport, ghala la silaha na pia sehemu ya maintanace, sasa uongeze na kitengo cha mashambulizi? you cant be serious.
Ku launch missile ni process, ikitokea wakirusha missile toka kwenye carrier, basi ndege itabidi zisimame zisiruke, imagine hicho kipindi mna andaa missile then adui ana wakuta, mnakuwa mmekwisha.
Boat za Iran ni kwa ajili ya kuongeza eneo la ulinzi na roots fupi za kwenye maji kwa ajili ya ulinzi, ila endapo hio carrier ikiwa ni threat usifikiri itapambana na boats, itapambana na missile za kutosha kama zile zilizotua kule Iraq, pia hadi kutumia hilo dude USA atakuwa karibu na maji ya Iran, na Iran atakuwa nyumbani, hapo USA carrier itaangamizwa.
Kumbuka hilo li carrier ni base tu kama ile iliyopigwa kule Iraq ila katika ulinzi linategemea warships.
Sijasema hujui silaha, lakini ulitaka kama kujenga hoja ya kulinganisha boats za patrol za Iran na air craft carrier kitu ambacho hakina mashiko, kama hio carrier inalindwa na warships hata Iran wana warships ambazo zitakabiliana na USA warships, hizo ndege zikiruka kuingia anga ya Iran zitakutana na s 300 ukizingatia USA itakuwa karibu kabisa na maji ya Iran, hivyo Iran itakuwa na uwezo mkubwa wa kuzamisha hilo dude na ku intercept hizo ndege.Unataka kusema sijui silaha? Hebu soma last 30 comments nilikuwa nazungumzia nini.
Hizo S-300 nishakwambia zinazimwa mapema, ndiyo kazi ya B-2 na ikiwezekana F-35 na F-22. Hizo S-300 zina range ya 400km kutrack ndege za kawaida na hazioni stealth. Zikiwasha radar tu zinasomeka na kushambulia, hebu soma Iraq na Bosnia kule walifanyaje. Ukiwasha radar unashambuliwa, kwani Libya ilivyowekewa no fly zone ilikuwaje? Kila air defence system ikiwasha transponder inapigwa makombora.Sijasema hujui silaha, lakini ulitaka kama kujenga hoja ya kulinganisha boats za patrol za Iran na air craft carrier kitu ambacho hakina mashiko, kama hio carrier inalindwa na warships hata Iran wana warships ambazo zitakabiliana na USA warships, hizo ndege zikiruka kuingia anga ya Iran zitakutana na s 300 ukizingatia USA itakuwa karibu kabisa na maji ya Iran, hivyo Iran itakuwa na uwezo mkubwa wa kuzamisha hilo dude na ku intercept hizo ndege.
Hizo S-300 nishakwambia zinazimwa mapema, ndiyo kazi ya B-2 na ikiwezekana F-35 na F-22. Hizo S-300 zina range ya 400km kutrack ndege za kawaida na hazioni stealth. Zikiwasha radar tu zinasomeka na kushambulia, hebu soma Iraq na Bosnia kule walifanyaje. Ukiwasha radar unashambuliwa, kwani Libya ilivyowekewa no fly zone ilikuwaje? Kila air defence system ikiwasha transponder inapigwa makombora.
Ni lini Marekani alisema anataka kuivamia Iran au anataka kumuua Ayatollah, nyinyi kila siku "Death to America" na hamfanyi kitu.Nafkiri ingelikua Marekani anawaza kama ww basi ingelikua Ayatullah tushamzika tushamsahau
Holi wudi ....Unatakiwa ujue kabla US akija kukushambulia anafanya aerial denial kwanza. Zile B-2 na B-1B Lancer hazipo kwa ajili ya kutalii angani.
1. Anashambulia kwa B-2 ambazo ni stealth anaua air defence batteries za Iran.
2. B-1B zinakuja kushambulia bases na vituo muhimu vya jeshi.
3. B-52 ndo zinakuja na tani za mabomu ya kutosha kuharibu factories za silaha na vituo vya umeme.
Hizo ndege zote hapo zina uwezo wa kutokea nyumbani kwenye airbases kibao kama Andersen na Guam.
Akimaliza anakuja majini.
1. Analeta aircraft carriers maeneo ya ghuba ya Aden na Mediterranean sea.
2. Akitoka hapo anatoa ndege zake kina E-2D kwa ajili ya early warning kulinda carrier group. Ndege zinatrack kila missile, boat, warship, na takataka yoyote iliyo umbali wa kutosha around carrier group.
3. Wakati huo ndege kama Poseidon na Sentry zipo angani karibu na Iran kucheki usalama, zina powerful sensors na systems za kutrack submarines na viboti vyao hivyo. Usinambie air defence systems zitazidondosha, zina range ya mbali ambako ground to air missiles hazifiki.
Hizo ndege za Poseidon zinatoa taarifa kwa carrier group kwamba kuna base flani inarusha ndege angani, carrier group inatoa air fighter kina F-16 na F-15, Iran ana ndege gani za kupambana na hizi?
Wakati huo E-2D Advanced Hawkeye inatoa taarifa kwa missiles zinazoifata carrier group, pale kwenye group lazima destroyers kama Arleigh Burke ziwepo. Kazi yake ndo hiyo, kazi ya Arrow 3 ni kutungua anti-ship missiles hizo. Ikishindwa kuna clone-in weapon system (CIWS) kazi yake ni ya mwisho kabisa. Hapa sijazungumzia kabisa masuala ya electronic warfare, F-16 na E-2D ndo kazi yake. Katika ndege zote tuachane na F-22 na F-35, hizi zitawaliza sana maana ni stealth.
Baada ya kuhakikisha hakuna msumbufu baharini, zinaletwa corvette na destroyers karibu na pwani. Amphibious assault ships zinaletwa ku-land wanajeshi. Wanatangulizwa marines na silaha zao complicated (marines wana silaha tofauti kabisa na navy). Wanahakikisha wanashika beach heads, badae ndo wanajeshi regular wanakuja kwa landing crafts.
Kazi ya submarines kama Virginia class hiyo inawekwa pending ikitokea kuna base inaleta usumbufu inachapwa makombora, Iran ana antisubmarine capability? Hana hata kidogo.
Kuna inventory ya silaha kibao hazijatajwa.
Utanambia mbona Iran yeye namponda? Sasa scenario nzima nakupa endapo Iran amepiga bases zote zinazomzunguka, kitu ambacho HAKIWEZEKANI KABISA ila ngoja nifanye kinawezekana. Yani kama unavyoona Saddam Hussein alitumia Scud missiles kushambulia bases around Iraq lakini alishindwa, basi tuamini Iran atashambulia bases zote sijui ziko 12 zilizoko Middle East azimalize. Akitoka hapo Iran atatumia mini kwenda kushambulia New York au Miami? Hapo ndo anapokea kichapo cha mbwa koko.
Hiyo nimetoa simplified scenario. Kuna silaha za Iran hazijulikani, lakini kuna inter US anazikusanya. Jiulize Trump alipata wapi picha iliyo clear kabisa pale rocket raunch ya Iran ilivyofeli? Ni kwakuwa wanaifatilia kwa satellite za kijeshi zenye uwezo mkali, Trump alivyo mjinga anatweet tu hata siri. Zipo silaha nyingi za US hazijulikani, Iran kwamba ataambiwa na Russia, haitomsaidia sana.
Hizo ngonjera hapo zinawezekana holi wudi pekee waache wajifariji tu.....Nafkiri ingelikua Marekani anawaza kama ww basi ingelikua Ayatullah tushamzika tushamsahau
Kuhusu b2 mkuu nina mashaka hata nikiangalia mission zake, b2 imekwenda Afghanistan, Libya kupiga Isis 2011 na pia Serbia kwenye kosovo war 1999, sijaona cha ajabu hapo kwenda kupiga watu wana RPG na AK-47.Unatakiwa ujue kabla US akija kukushambulia anafanya aerial denial kwanza. Zile B-2 na B-1B Lancer hazipo kwa ajili ya kutalii angani.
1. Anashambulia kwa B-2 ambazo ni stealth anaua air defence batteries za Iran.
2. B-1B zinakuja kushambulia bases na vituo muhimu vya jeshi.
3. B-52 ndo zinakuja na tani za mabomu ya kutosha kuharibu factories za silaha na vituo vya umeme.
Hizo ndege zote hapo zina uwezo wa kutokea nyumbani kwenye airbases kibao kama Andersen na Guam.
Iran ina speed boats zenye kubeba cruise missiles, submarines ambazo ni stealth zinabeba torpedoes, pia kwenye radar technology usiwapimie, wana boats zinakimbia sana kuliko hizo ships na boats za US navy hapo nazungumzia boat zinaitwa seraj ambazo zinashikilia record kwa kasi.Akimaliza anakuja majini.
1. Analeta aircraft carriers maeneo ya ghuba ya Aden na Mediterranean sea.
2. Akitoka hapo anatoa ndege zake kina E-2D kwa ajili ya early warning kulinda carrier group. Ndege zinatrack kila missile, boat, warship, na takataka yoyote iliyo umbali wa kutosha around carrier group.
Hizo ndege ni za kawaida sana sijui unatumia kigezo gani kusema haziezi dondoshwa, ipo hivi.3. Wakati huo ndege kama Poseidon na Sentry zipo angani karibu na Iran kucheki usalama, zina powerful sensors na systems za kutrack submarines na viboti vyao hivyo. Usinambie air defence systems zitazidondosha, zina range ya mbali ambako ground to air missiles hazifiki.
Unadhani hata hapo watafika? sidhani!! Hizo Poseidon zipata nafasi gani kufanya surveillance angani? how?Hizo ndege za Poseidon zinatoa taarifa kwa carrier group kwamba kuna base flani inarusha ndege angani, carrier group inatoa air fighter kina F-16 na F-15, Iran ana ndege gani za kupambana na hizi?
Wakati huo E-2D Advanced Hawkeye inatoa taarifa kwa missiles zinazoifata carrier group, pale kwenye group lazima destroyers kama Arleigh Burke ziwepo. Kazi yake ndo hiyo, kazi ya Arrow 3 ni kutungua anti-ship missiles hizo. Ikishindwa kuna clone-in weapon system (CIWS) kazi yake ni ya mwisho kabisa. Hapa sijazungumzia kabisa masuala ya electronic warfare, F-16 na E-2D ndo kazi yake. Katika ndege zote tuachane na F-22 na F-35, hizi zitawaliza sana maana ni stealth.
Siku zote mtu anaye onaewa huwa namuunga mkono kwa 100%