Jeshi la Israel IDF lafichua handaki jipya la Hezbollah lililochimimbwa chini ya makao makuu ya majeshi ya Umoja Wa Mataifa (UNFIL)

Kwamba Israel alikua akimsaidia Iran silaha wakati anapigana na Iraq? You must be kidding yourself bro. Hivi unajua chanzo cha ule mgogoro? Ukikijua then hutaweza kusema mbele za watu kwamba eti Israel aliisaidia Iran silaha ili apigane na Iraq.
Ikibidi nitakukumbusha why majirani wale walipigana. Si google; nilikua kijana, nilikua nina akili; nakumbuka vizuri sana, na nakumbuka pia why vita ile iliisha bila kupinduana, Iran ilibaki na regime yake same as Iraq Saddam Hussein aliendelea kua rais wa Iraq
😂😂😂😂😂😂Kaka shida una akili za kulishwa sio za kutafuta madesa.
Israel ilimsaidia Iran vita ya Iraq na sio hapo tu hata mapinduzi ilimsaidia 1979 kiintelijensia.
Si unataka kugoogle!?
Wacha nikuletee ya google.
Hivi unajua chanzo cha vita ya Iraq-Iran war chanzo chake nini!?
 
Kwamba Israel alikua akimsaidia Iran silaha wakati anapigana na Iraq? You must be kidding yourself bro. Hivi unajua chanzo cha ule mgogoro? Ukikijua then hutaweza kusema mbele za watu kwamba eti Israel aliisaidia Iran silaha ili apigane na Iraq.
Ikibidi nitakukumbusha why majirani wale walipigana. Si google; nilikua kijana, nilikua nina akili; nakumbuka vizuri sana, na nakumbuka pia why vita ile iliisha bila kupinduana, Iran ilibaki na regime yake same as Iraq Saddam Hussein aliendelea kua rais wa Iraq
Soma hapo kwenye red mkuu.
Nimeamua ku google ili twende sawa.
Upande wa Iraq ulisaidiwa hadi na Soviet ambayo ni Russia ya sasa ambayo ndio ina urafiki mkubwa na Iran.
Hiyo Israel ambayo ilimsaidia Iran nyuma kijeshi ndio sasa hivi adui mkubwa wa Iran tena sana.
Ndio ujue GEOPOLITICS do change due to interests.
Screenshot_2024-10-16-18-43-00-98_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Soma hapo kwenye red mkuu.
Nimeamua ku google ili twende sawa.
Upande wa Iraq ulisaidiwa hadi na Soviet ambayo ni Russia ya sasa ambayo ndio ina urafiki mkubwa na Iran.
Hiyo Israel ambayo ilimsaidia Iran nyuma kijeshi ndio sasa hivi adui mkubwa wa Iran tena sana.
Ndio ujue GEOPOLITICS do change due to interests.View attachment 3126889
From my own memory; sija Google popote. Baada ya kina Ayatollah na team yake kumpindua rais/mfalme Shah pale Iran (ikumbukwe Shah alikua pro West like Egypt, Saudia etc ) USA na his allies waliona fursa la kula mafuta ya Iran imekwisha, Rafsanjani, Khomein nk walitaka kuongoza nchi kidini na kujiondoa direct from USA then team USA wakaona ni lazima kumrudisha Shah or somebody ambaye wanaweza kum remote, now kuna mwamba alikua anaitwa Saddam Hussein, huyu jamaa alijaribu kupindua mara kadhaa serikali ya Iraq na akashindwa, homework yao iliwaonesha wamtafute huyu jamaa, Saddam nadhani alikimbilia Misri, baada ya kumpa mbinu, ndio sasa akafanikiwa kuingia madarakani Iraq kwa mapinduzi; homework No 2, anzisha vita na Iran ili kuiondoa madarakani serikali iliopo ambayo ni ya msimamo mkali. Vita ikaanza, zilipigwa kwa miaka 8. Mwaka 1987, jeshi la maji la USA lilitungua ndege ya abiria aina ya Airbus mali ya Iran ilikua ikitoka Tehran to Paris, abiria 270 walipoteza maisha na wengi wao walikua raia wa Iran, USA ikakiri baadae kwamba ni wao wametungua ndege bahati mbaya, walidhani ni ndege ya kijeshi/kivita. Now vita hi ilikwishaje? Saddam Hussein baadae alikuja kujua kwamba baadhi ya silaha alizonazo Iran zilitoka USA I think na Israel hi unayoisema. Hiki kitendo kilimuudhi sana Saddam Hussein, Saddam aliona kama kasaritiwa; why anapigana vita na jirani yake kwa kuongozwa na USA, the same USA ndio tena ka provide silaha kwa adui? Finally hawa 2 wakafikia makubaliano ya kuachana na hi vita. Source of my information ni gazeti la Sauti ya Umma (SYU) kutoka Iran, baba yangu alikua kiongozi wa kidini miaka hiyo na tulikua tunaletewa hilo gazeti hilo kila mwezi; the only thing ambacho sikukitoa kwenye hilo gazeti ni habari ya hizo silaha za USA to Iran, the rest ni kutoka maktaba yangu ya kichwani, habari ambazo bado nina kumbukumbu nazo almost 40 years now.

Well, baadae niliasi dini ya baba yangu na kua Mkristo...., twende kazi.
 
Sababu ya vita haikuwa moja tu mkuu.
Saddam Hussein naye aliingia hii vita akitaka kuipindua serikali ya Iran ya kishia ili kuondoa ushawishi wa kishia ukanda wa ghuba.

Ni kweli USA alipeleka silaha Iran ila ni mbeleni mwa vita kwa kuchezeana kiintelijensia sio kama Israel ambaye alikua bega kwa bega na Iran kuanzia 1980-1988.
Sababu pia ya kukubaliana na kusitisha vita sio hiyo tu ya kuona kusalitiwa pia Saddam alishaaelemewa na hii vita na kama angeendelea ingemuwia ubaya kwake.

Ila kwa yote uliyosema ni sahihi.
 
Ubongo wangu bado unatunza kumbukumbu sana bro; Asante kwa kuliweka sawa pia. Nimekua mfatiliaji sana wa siasa za middle east for years; nimelazimika kusoma vitabu vingi sana. Anyway, sometimes nachekaga sana pekee yangu nikiwaga nasoma baadhi ya maandishi ya watu humu; yaani dini zinatupofusha sana. Wengine utasikia wanadai eti Iran anaichukia Israel kwasababu ya dini😆😅😀😃😄 sasa kwa mfano wako hu uliousema, Iran yenye siasa kali za kidini enzi hizo, ilikuaje ikawa inafanya biashara ya silaha na Israel ya Wayahudi? Kitu kingine ambacho sisi wa kwa mtogole huaga hatukijui ni hiki; idadi ya Wayahudi ambao ni Waislamu ni kubwa kuliko idadi ya Wayahudi ambao ni Wakristo; inaweza kuwashangaza wote hi, Wakristo na Waislamu wa humu kama kina dada yangu kipenzi FaizaFoxy, mwana mfalme kaka Ritz nk na again Iraq ya Saddam Hussein ilikua na Wakristo na Wakristo wa pale waliishi bila shida enzi hizo za Saddam kuliko sasa hivi; again kuna watu hawajui kama wapo Wapalestina wengi tu wanaoishi hapo hapo Gaza na ni Wakristo wa madhehebu ya Kipentekoste/Kilokole, wao kule hawajiiti Wakristo, wanaitwa Messianic believers, same as Wayahudi wachache wanao amini katika Yesu. Now these people, when it comes to their land, they stand together kama tunavyo waona Wazanzibari kwa huku bongo, Wazanzibari tofauti na Watanganyika, when it comes to their land, huwezi kumjua wa CUF, CCM or ACT, Watanganyika akili kijiko, wote wata comment based na misimamo ya vyama vyao, CCM na Chadema hawawezi kuongea lugha moja.

Tuendelee na mjadara.
 
Bumunda kweli huyu.
Watu wengine akili zao sijui zinafikiria kwa namna gani!?
Yani UNIFIL iwe na mahandaki ya kujifichia Hizbollah!??
Mpuuzi huyu.
Wanaume wako Lebanon kitambo na mgambo wa Hizbullah wanadakeakama panzi Kuna videos nyingi tu zikionyesha hizo tunnels
 
M
IDF yagundua handaki lenye Vifaa vya kivita ambayo vingetumika kufanya uvamizi na mauaji makubwa kwa Raia wa Israel.

Handaki hilo lililochimbwa na Hezbollah kutoka kusini mwa Lebanon (Ramya) liligunduliwa na IDF likiwa limechimbwa chini ya makao ya majeshi ya UNIFIL

Handaki hilo Lilikuwa na urefu wa takriban kilomita 1.5 na kina cha mita 80 huku wengi wakishuku kuwa lengo la handaki hilo lilikuwa ni kuingia Israel kwa ajili ya utekaji nyara wa wananchi wa Israel na kufanya mashambulizi.

==============================================

Breaking: The IDF has revealed massive, heavily fortified Hezbollah tunnels were found just meters away from UNIFIL posts in Southern Lebanon.

UNIFIL's sole mandate was to ensure Hezbollah remained north of the Litani River. They completely failed their sole job.

Source: Washington Post
Mshaanza kuwazushia ubaya UNIFIL kisa kukataa kutoa majeshi yake
 
Hao waisrael wameanza propaganda zao baada ya kuwajeruhi askari wa UN.

Ni mchezo uleule waliotumia kuhalalisha kupiga mahospitali huko Gaza kwa kusema kuwa chini ya hospitali kuna tunnels na command centres za HAMAS
Hoja hupingwa kwa hoja jeshi la UN lipinge kwa ushahidi
 
IDF yagundua handaki lenye Vifaa vya kivita ambayo vingetumika kufanya uvamizi na mauaji makubwa kwa Raia wa Israel.

Handaki hilo lililochimbwa na Hezbollah kutoka kusini mwa Lebanon (Ramya) liligunduliwa na IDF likiwa limechimbwa chini ya makao ya majeshi ya UNIFIL

Handaki hilo Lilikuwa na urefu wa takriban kilomita 1.5 na kina cha mita 80 huku wengi wakishuku kuwa lengo la handaki hilo lilikuwa ni kuingia Israel kwa ajili ya utekaji nyara wa wananchi wa Israel na kufanya mashambulizi.

==============================================

Breaking: The IDF has revealed massive, heavily fortified Hezbollah tunnels were found just meters away from UNIFIL posts in Southern Lebanon.

UNIFIL's sole mandate was to ensure Hezbollah remained north of the Litani River. They completely failed their sole job.

Source: Washington Post
Hataree
 
Wanaume wako Lebanon kitambo na mgambo wa Hizbullah wanadakeakama panzi Kuna videos nyingi tu zikionyesha hizo tunnels
Hizo tunnels wewe una uhakika gani ni za Hibzollah!?
Hizbollah maficho yao ni milimani.
Israel wapo maeneo ambayo yana security ya UNIFIL.
Na hapo Hizbollah hawezi ku launch attack,watoke maeneo ya UNIFIL halafu usikilizie mziki wake.
 
Ubongo wangu bado unatunza kumbukumbu sana bro; Asante kwa kuliweka sawa pia. Nimekua mfatiliaji sana wa siasa za middle east for years; nimelazimika kusoma vitabu vingi sana. Anyway, sometimes nachekaga sana pekee yangu nikiwaga nasoma baadhi ya maandishi ya watu humu; yaani dini zinatupofusha sana. Wengine utasikia wanadai eti Iran anaichukia Israel kwasababu ya dini😆😅😀😃😄 sasa kwa mfano wako hu uliousema, Iran yenye siasa kali za kidini enzi hizo, ilikuaje ikawa inafanya biashara ya silaha na Israel ya Wayahudi? Kitu kingine ambacho sisi wa kwa mtogole huaga hatukijui ni hiki; idadi ya Wayahudi ambao ni Waislamu ni kubwa kuliko idadi ya Wayahudi ambao ni Wakristo; inaweza kuwashangaza wote hi, Wakristo na Waislamu wa humu kama kina dada yangu kipenzi FaizaFoxy, mwana mfalme kaka Ritz nk na again Iraq ya Saddam Hussein ilikua na Wakristo na Wakristo wa pale waliishi bila shida enzi hizo za Saddam kuliko sasa hivi; again kuna watu hawajui kama wapo Wapalestina wengi tu wanaoishi hapo hapo Gaza na ni Wakristo wa madhehebu ya Kipentekoste/Kilokole, wao kule hawajiiti Wakristo, wanaitwa Messianic believers, same as Wayahudi wachache wanao amini katika Yesu. Now these people, when it comes to their land, they stand together kama tunavyo waona Wazanzibari kwa huku bongo, Wazanzibari tofauti na Watanganyika, when it comes to their land, huwezi kumjua wa CUF, CCM or ACT, Watanganyika akili kijiko, wote wata comment based na misimamo ya vyama vyao, CCM na Chadema hawawezi kuongea lugha moja.

Tuendelee na mjadara.
Ni sahihi,ila hii yote inakuja kwasababu hizi vita zenyewe zimejaa espionage na conspiracy nyingi sana.
Sasa unakuta tunashindwa kuung'amua uhalisia kwa kutumbukia kwenye propaganda za wenyewe.
Ila hii dunia inaendeshwa na siasa za unafaikaji,haijalishi dini ama asili.
Kama unufaikaji ukabadilika basi utaona siasa zikabadili muelekeo na kuzaa siasa za uadui baina ya marafiki wa zamani.
Mimi sio mkubwa kihivyo huwenda umenizidi mbali sana mkuu,ila ni mtu nayependa kutafiti.
Nilipotafiti hili sikuamini macho yangu kama Iran inayoapa kuifuta Israel ilikua rafiki wa zamani wa Israel.
Hii iliniwia ngumu kuamini.
Hapo Iran kwenyewe kuna raia takriban laki nane ambao ni wayahudi na wanaishi vizuri tu.

Siasa aisee tuziachage tu,ukija wakati wa faida uadui hufa na faida ikiondoka uadui huzalikana.
 
😀😀😀 hili linaweza kua somo gumu sana kwa baadhi ya watu humu kuliamini. Sasa hao Wayahudi laki 8 ni wale wanaojulikana; sasa kuna na wengine hawajulikani na wapo pale, Iran analijua hilo but kuwa identify ndio ngumu cause sura na dini wote ni kama wa Iran. Kuna habari kwamba hata Ahmed Elnajabu (sijui kama inaandikwa hivo, the former president of Iran) yule Rais wao aliyetengeneza mgogoro mkubwa na jumuia ya kimataifa hasa USA kuhusu mradi wake wa nuclear ambao of course unaendelea hadi sasa nae ni Myahudi; hili sijalithibitisha but ndio mastery ya town. Baadae usiku nitaandika why Iran ina Wayahudi wengi, walìngiaje na why wengine wanajulikana na wengine hawajulikani na of course hicho ndicho kinacho mpa jeuri Netanyahu. Muhimu tu; dunia ina siri nyingi kama ulivojaribu kusema hapo juu kuhusu urafiki then uadui wa Israeli na Iran; sisi wa kwa Mtogole tuendelee kunywa chai na chips dume na tuendelee na tuendeleze ushabiki wetu tu
 
Naisubiri hiyo story niisome,huwenda ikawa na mapya ambayo sijawahi kuyafahamu.
Ila Ahmednajad story yake siifahamu huwenda ikawa kweli maana hakuna kisichowezekana.
Iran kuna wayahudi kibao wamezaana na waajemi.
 
Back
Top Bottom