Jeshi la Israel (IDF) lakanusha kuhusika na Shambulio la hospitali huko Gaza

Jeshi la Israel (IDF) lakanusha kuhusika na Shambulio la hospitali huko Gaza

Seems huna uelewa na zana za kivita coz umekuja na sababu ya moja kwa moja (uwezo wa roketi) ku justify nani kahusika. Kila upande anamtuhumu mwenzie, ila cha kushangaza sijaona utetezi wa Hamas ku declare kwamba hawana rockets zenye uwezo huo zaidi ya kusema ni air strike. Sijui unatumia source gani kufuatilia hili tukio na kinachoendelea baada ya hapo.
Hawana hizo rockets wangekuwa nazo. Kati ya zile 5000 zilizopigwa tarehe 7 wangemwaga za kutosha. Maana wao hasira ya ni kwa Hao wazayuni
 
Wap tulisema?
Acheni kutetea ujinga acha dunia ione jinsi Israel ilivyo na jeshi la hovyo.
Wahovyo ni wewe unayepinga ukweli uliowazi kabisa. Kila taifa la middle east wanaelewa kombora lilorushwa na hamas limemiss target.
Hii huitwa shimo walilochimba wametumbukia wenyewe
 
Islael inauwa watu hadi muda huu wameua watu 4000 ndani ya siku 30 nusu ya vita ya urusi na ukraine waliua watu 9500 miaka miwili ina maan wakiongeza miez miwili washavuka mgogoro wa Urusi na Ukraine.

Mbaya zaidi islael anaua watoto.

Israel ni taifa la hovyo.
Takbirrrr 😂😂😂😀😀😁😬, hamas wavivyobaka na kuchoma vitoto Allah alifurahi sana sio.Israel na wabarikiwe na Yehova. Hakika upanga wa Goliath bado upo juu ya Wafilisti.
 
Umeona shughuli ya JDAM?!

Averaged across different types of surfaces, a 2000-lb bomb will carve a crater 50 feet across and 16 feet deep; a 500-lb bomb will carve one 25 feet across and 8.5 feet deep. The probability of incapacitating injury to unprotected troops within 100 meters of a 2000-lb bomb blast in the open is 83 percent; for those between 100 and 200 meters it is 55 percent. (pdf)
‘Precision warfare’ - A 2,000-lb Scalpel? – Project on Defense AlternativesView attachment 2785283
Wavaa pedo waongo sana
 
I firmly STAND with Israel
Mimi siwezi kusimama na upande wowote unaotoa uhai wa binaadamu mwenzangu hata kuwe na sababu ya aina gani, acha hizi waisrael na wapalestina wa kitanzania wanazoshangilia. Sisi tuhangaike na vyoo vya shimo badala ya kushinda huku na kuchukua pande za watu ambao hawana hata mpango nasi waafrika maskini.
 
Kwanza unafahamu kuwa HAMAS wanatumia Binadamu kama ngao yao kujilinda na mashambulizi ya Israel... Hamas wanachokifanya ni kwenda maeneo yenye kuhifadhi watu kama mashuleni, misikitini, mahospitalini kisha kufanya mashambulizi ya makombora, hili endapo Israel wakijibu mashambulizi waonekane wanapiga na kuua watu.... Yani HAMAS wanachofanya sasa hivi ni kuhakikisha Israel analaumiwa juu ya raia... Sasa kama HAMAS anapenda wapalestina kwa nini hawatoe kama chambo kwa manufaa yake... Kwa nini HAMAS anakataza raia wasitoke, kwa nini asiende yeye kama yeye vitani mpaka awe na raia
Unatoa Ushuhuda huu ukiwa hapo Tel Aviv au hapo Kashwagara - Karagwe??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Islael inauwa watu hadi muda huu wameua watu 4000 ndani ya siku 30 nusu ya vita ya urusi na ukraine waliua watu 9500 miaka miwili ina maan wakiongeza miez miwili washavuka mgogoro wa Urusi na Ukraine.

Mbaya zaidi islael anaua watoto.

Israel ni taifa la hovyo.
Kwahiyo anaua bila sababu bwana Hakimu? are you stupid by birth or are you taking drugs? mijinga kama aljazeera na miarabs mengine yaani michokozi then ikipigwa inalia kuwa inaonewa... this time nilijua waliposhangilia sana walipokuwa wanatimiza nguzo za Kiislam za kuchinja wayahudi Saturday then kill Christian on Sunday
 
Islael inauwa watu hadi muda huu wameua watu 4000 ndani ya siku 30 nusu ya vita ya urusi na ukraine waliua watu 9500 miaka miwili ina maan wakiongeza miez miwili washavuka mgogoro wa Urusi na Ukraine.

Mbaya zaidi islael anaua watoto.

Israel ni taifa la hovyo.
watoto ni watu pia pia hata wanaume na sisi tunahaki ya kuishi pasipo kubaguliwa.
Tuombe wapate mwafaka ili watu waish kama wana wa adamu na si kama wanyama
 
Back
Top Bottom