4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
kama walikuwa na video na kutuma roket ili ionekane waisrael , tutaaminije?Tuongee kisayansi,roketi ya Islamic jihad inaweza watu 500 na kubomoa completely hospital!?..balozi wa Palestine UN kakutana na wanahabari na kaonesha video na tweets za Israel