Hujakatazwa ila reality itabaki vilevile kwamba IDF ndio walioshambulia hospital.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujakatazwa ila reality itabaki vilevile kwamba IDF ndio walioshambulia hospital.
Imekuwa hivyo leo mbona juzi tu mlikuwa mnasema hamas itaifuta israel. je hizo silaha za kuifuta isarel zina ukubwa gani maana taifa la Israel ni zaidi ya watu 500Acha kutetea ujinga mkuu hamas hana silaha zenye uwezo mkubwa kiasi hicho cha kuuwa watu 500.
Dogo mbona hueleweki? Whyyyyyyyyy???Hamas wanajua kuwa hakuna bomu linaweza piga sehemu na hiyo sehemu ikabakia nzima nzima
Mmarekani akiamua anaweza
Israel’s own Digital Spokesperson Hananya appointed by Netanyahu himself literally admitted to bombing the hospital and then deleted it a few minutes later.Siyo rahisi hivyo israel ifanye shambulio kama hilo ukizingatia kuna ujio wa Biden hapo Tel Aviv, nina wasiwasi kama sio bahati mbaya (misfire) ya Hamas basi kuna uhuni umefanyika kutibua ziara za biden hapo middle east.
Israel’s own Digital Spokesperson Hananya appointed by Netanyahu himself literally admitted to bombing the hospital and then deleted it a few minutes later.Labda walikuwa wanatafuta ukweli juu ya nani kafanya shambulio kupitia kwa wanajeshi wake walioko vitani, walivyopata majibu kuwa hawajahusika ndio wakaja na official statement. Uwezi kutoa statement wakati huna uhakika
Israel’s own Digital Spokesperson Hananya appointed by Netanyahu himself literally admitted to bombing the hospital and then deleted it a few minutes later.HAMAS wanafurahishwa na huu uchochezi kwa hiyo hata kama ni kweli wao ndo wamehusika hawatoweza kukubali
ili tu Israel aonekane mbaya
La Israel kushambulia hospital tumemaliza!?Kwanza unafahamu kuwa HAMAS wanatumia Binadamu kama ngao yao kujilinda na mashambulizi ya Israel... Hamas wanachokifanya ni kwenda maeneo yenye kuhifadhi watu kama mashuleni, misikitini, mahospitalini kisha kufanya mashambulizi ya makombora, hili endapo Israel wakijibu mashambulizi waonekane wanapiga na kuua watu.... Yani HAMAS wanachofanya sasa hivi ni kuhakikisha Israel analaumiwa juu ya raia... Sasa kama HAMAS anapenda wapalestina kwa nini hawatoe kama chambo kwa manufaa yake... Kwa nini HAMAS anakataza raia wasitoke, kwa nini asiende yeye kama yeye vitani mpaka awe na raia
Israel anasema ni kombora la Islamic jihads lilikuwa linarusha Israel likamisfire nakuangukia kwenye hospital huko GazaJeshi la Israel kupitia ukurasa wao wa mtandao wa X wameweza kukanusha taarifa juu ya shambulio la kombora lililoangukia Hospitali huko mjini Gaza na kuua zaidi ya watu 500 na kujeruhi wengine kadhaa.
Jeshi hilo limesema, shambulio hilo halikufanywa na Israel bali ni kundi la Kigaidi lenye mlengo wa kidini wa kiislamu baada ya kujaribu kurusha kombora kwenda Israel lakini kombora hilo likashindwa kupata muelekeo na kuangukia eneo la hospitali lililokuwa na mamia ya watu wakiwa wamejihifadhi kukwepa Vita huku likiua wengi na kujeruhi wengine.
View attachment 2785118
Hata hivyo mpaka sasa hakuna taarifa rasmi ya kukanusha au kukubali iliyotoka upande wa HAMAS juu ya tukio hilo. Jeshi la Israel limekuja na taarifa hiyo ya kukanusha baada ya watu kuanza kutuhumu jeshi hilo la IDF (Israel Defensive Force) kufanya shambulio hilo. Mpaka sasa watu wanasubiri taarifa rasmi kutoka HAMAS juu ya kuhusika na shambulio hilo.
Wap tulisema?Imekuwa hivyo leo mbona juzi tu mlikuwa mnasema hamas itaifuta israel. je hizo silaha za kuifuta isarel zina ukubwa gani maana taifa la Israel ni zaidi ya watu 500
MUNGU WA ISRAEL NI MKUU SANA
Kwa nn isiwe misfire ya Israeli?nina wasiwasi kama sio bahati mbaya (misfire) ya Hamas basi kuna
Walikuwa wanatafuta PA kurushia mpiraKwanini wamechelewa sn kukanusha Hii habari[emoji848]
Hamas wanarusha rocket na misfire ya rocket Moja haiwezi kudismantle hospital nzima na kuua 500 people. Ile ni AIR STRIKE MISSILE.Kwa nn isiwe misfire ya Israeli?