Mbona milipuko yenyewe midogo!?Hali ni mbaya uko lebanon
Ritz
Webabu
Adiosamigo
Kosugi
Nendeni mka changie damu ndugu zenu wana lipuka lipuka ovyo mitaani uko
View: https://x.com/MyLordBebo/status/1836037955653124349?t=Gntklu42F5AM3xf8laeYlw&s=19
Ukitumia mbinu ya kusaidiwa kwa misaada mingi wewe tayari ushaonesha ni dhaifu.Mkuu; Katika vita huwaga hawaangalii eti umesaidiwa na nani kwani nayo hiyo ni mbinu mojawapo. Ukiweza kama na ww unataka siutumie?-daadek. Atakayekamatiwa chini kisawasawa na kubanwa koo a.k.a kabali ndio atakuwa na jukumu la kutoa sauti ya kilio au sauti ya kuomba msaada. Kuwa mpole; Tusubiri IDF waliamshe ndipo tutajua atashinda vipi.
We umeona nilio mjibu alidai Israel anapigana peke sijui na nchi kazitaja wakati ni uwongo mtupu, yeye ndiye anaye saidiwa. Sa we umegeuza point.Mkuu; Katika vita huwaga hawaangalii eti umesaidiwa na nani kwani nayo hiyo ni mbinu mojawapo. Ukiweza kama na ww unataka siutumie?-daadek. Atakayekamatiwa chini kisawasawa na kubanwa koo a.k.a kabali ndio atakuwa na jukumu la kutoa sauti ya kilio au sauti ya kuomba msaada. Kuwa mpole; Tusubiri IDF waliamshe ndipo tutajua atashinda vipi.
Hao wameishiwa vita vimewashinda sa wana tumia The cyber attack wameweza kuhack hizo devices, hapo mimi naona huo ni ujinga wa Israel atasababisha kwanza watu dunia nzima wanze kuzikimbia hizo devices ambazo US na Israel wanapenya vile. Hio ni good news kwa China, Russia, Iran na South Korea wajtaaribu kuepukana na smartphone that runs on the Android operating system (OS)Hali ni mbaya uko lebanon
Ritz
Webabu
Adiosamigo
Kosugi
Nendeni mka changie damu ndugu zenu wana lipuka lipuka ovyo mitaani uko
View: https://x.com/MyLordBebo/status/1836037955653124349?t=Gntklu42F5AM3xf8laeYlw&s=19
Mungu ni mwema siku zote hapo wajanja washasanuka ni kurudi zama za mawe tu mpaka watakapo pata mfumo thabiti wa kwao wenyeweHao wameishiwa vita vimewashinda sa wana tumia The cyber attack wameweza kuhack hizo devices, hapo mimi naona huo ni ujinga wa Israel atasababisha kwanza watu dunia nzima wanze kuzikimbia hizo devices ambazo US na Israel wanapenya vile. Hio ni good news kwa China, Russia, Iran na South Korea wajtaaribu kuepukana na smartphone that runs on the Android operating system (OS)
Vipi bado source ni kijiwe?!Source kijwe cha kahawa
Watoto wa mnyazimungu wanapukutika balaaWoooyoooo watie maguu tuone mtanange, netanyahu anaanzisha ugomvi kila upande maana pakitulia ataenda jela
Wanalinywa kama walivyolikoroga.Watoto wa mnyazimungu wanapukutika balaa