Jeshi la israel kuiavamia Lebanon

Jeshi la israel kuiavamia Lebanon

Hali ni mbaya uko lebanon
Ritz
Webabu
Adiosamigo
Kosugi
Nendeni mka changie damu ndugu zenu wana lipuka lipuka ovyo mitaani uko

View: https://x.com/MyLordBebo/status/1836037955653124349?t=Gntklu42F5AM3xf8laeYlw&s=19

Mbona milipuko yenyewe midogo!?
Na kama Israel ndio kahusika hii inaonesha Israel ni dhaifu sana.
Huwezi ukatumia vilipuzi kwa raia wa kawaida.
Hapa ndio uone kuwa Israel dhaifu,kupigana na jeshi kama jeshi hawezi sasa ana install fear kupitia raia.😂😂😂😂😂😂😂Huo ni uanamke.
Ngojea wanaume Hizbollah wapate info kamili halafu walipize.
 
Mkuu; Katika vita huwaga hawaangalii eti umesaidiwa na nani kwani nayo hiyo ni mbinu mojawapo. Ukiweza kama na ww unataka siutumie?-daadek. Atakayekamatiwa chini kisawasawa na kubanwa koo a.k.a kabali ndio atakuwa na jukumu la kutoa sauti ya kilio au sauti ya kuomba msaada. Kuwa mpole; Tusubiri IDF waliamshe ndipo tutajua atashinda vipi.
Ukitumia mbinu ya kusaidiwa kwa misaada mingi wewe tayari ushaonesha ni dhaifu.
Kwasababu ikitokea wanaokusaidia wakakata msaada basi utakuja kudhoofika vibaya sana.
 
Mkuu; Katika vita huwaga hawaangalii eti umesaidiwa na nani kwani nayo hiyo ni mbinu mojawapo. Ukiweza kama na ww unataka siutumie?-daadek. Atakayekamatiwa chini kisawasawa na kubanwa koo a.k.a kabali ndio atakuwa na jukumu la kutoa sauti ya kilio au sauti ya kuomba msaada. Kuwa mpole; Tusubiri IDF waliamshe ndipo tutajua atashinda vipi.
We umeona nilio mjibu alidai Israel anapigana peke sijui na nchi kazitaja wakati ni uwongo mtupu, yeye ndiye anaye saidiwa. Sa we umegeuza point.
 
Wameamua kwanza kuondoa mfumo wao wa mawasiliano kisha wawafanye bibaha
 
Hali ni mbaya uko lebanon
Ritz
Webabu
Adiosamigo
Kosugi
Nendeni mka changie damu ndugu zenu wana lipuka lipuka ovyo mitaani uko

View: https://x.com/MyLordBebo/status/1836037955653124349?t=Gntklu42F5AM3xf8laeYlw&s=19
Hao wameishiwa vita vimewashinda sa wana tumia The cyber attack wameweza kuhack hizo devices, hapo mimi naona huo ni ujinga wa Israel atasababisha kwanza watu dunia nzima wanze kuzikimbia hizo devices ambazo US na Israel wanapenya vile. Hio ni good news kwa China, Russia, Iran na South Korea wajtaaribu kuepukana na smartphone that runs on the Android operating system (OS)
 
Mungu ni mwema siku zote hapo wajanja washasanuka ni kurudi zama za mawe tu mpaka watakapo pata mfumo thabiti wa kwao wenyewe
 
ISRAEL INAPOSHAMBULIA HIVI INANIPA RAHA🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥰🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom