Jeshi la Israel lafanya mashambulizi makubwa huko nchini Yemen na kusambaratisha kinu cha kuzalisha umeme na bandari

Jeshi la Israel lafanya mashambulizi makubwa huko nchini Yemen na kusambaratisha kinu cha kuzalisha umeme na bandari

TUTATOA TAMKO. SO SOON NA TUNAJIPANGA. NINYI MAYORHOOD MTATUKOMA. NGOJA KESHO TUTAANZISHA UZI MIMI NA WENZANGU KUJIBU MASHAMBULIZI HAYO.


Ritz ,Webabu Malaria 2 The Boss Jagina NAONA KAMA MMENIACHIA MIMI PEKE YANGU SIWAONI KABISA HUKU. MSIACHE NIBAKI MWENYEWE. HAWA JAMAA HAWAONGEI WANATENDA TU

Si ajabu kwani Si mnatuambia walimuuwa mungu wenu au vipi?
 
Ilishatoka wakati ana mzaa Yesu
We nenda kasaidie kobazi wenzako wanakufa kama kuku wenye kideri
Netanyau alishaapa magaid yote atayawahisha jehanamu wakapambe na bikra 72 na kuogelea kwenye mito ya pombe
Subiri muda mchache tu, utamsikia ?omba uhai tu
 
Hamna target alizo pata Al Houth walisha hamisha mafuta, na kupiga umeme yeye kapigiwa huko Asqalan pia sa ajabu ipo wapi. Kitu muhimu Yemen hajawahi kushindwa vita mtalipata jibu karibuni.

Kule Lebanon kulikuwa na body guard mmoja ndio alikuwa anauza siri kwa pesa tena body guard wa Nasurlah, na kuna Jasusi wa Iran anatafutwa. Bada ya hapo Israel atachezea kichapo. Huyu kiongozi wa Sasa Seif Al Din atavunja majumba ya Israel watamkumbuka Nasurlah alikuwa ana imani hukutaka wapigwe civilian. Leo walijidai kuingiza ground force wamekipata sidhani kama watasubutu tena
Mzee hua una type ukiwa Chooni???
 
Yani ukizaliwa Israel mpaka unazeeka unakufa haupoi ni vita tu.
Ni muda sasa Tanzania kupeleka JWTZ huko Yemeni, Lebanon na Gaza kulinda amani, pengine hawa wanaweza wakaleta amani😃
 
Hii ni ngoma ya bibi yake babu wa baba mkwe alafu mkwe sasa wa shangazi yake babu
 
Muislam yeyote yule anayekufa akitetea mali yake ni shahidi, anayekufa akitetea maisha yake ni shahidi, anayekufa akitetea imani yake ni shahidi, na anayekufa akitetea familia yake ni shahidi." — (Sahih Muslim, Hadith 141)
Namkubali sana Putin. Alisema kazi yake ni kuwawahisha magaid kwa Mungu.
 
Muislam yeyote yule anayekufa akitetea mali yake ni shahidi, anayekufa akitetea maisha yake ni shahidi, anayekufa akitetea imani yake ni shahidi, na anayekufa akitetea familia yake ni shahidi." — (Sahih Muslim, Hadith 141)
Ushahidi una zawadi gani?
 
Katika Uislamu, kufa katika jihad (juhudi au jitihada kwa ajili ya Allah) kunachukuliwa kuwa na malipo makubwa katika Akhera (maisha ya baada ya kifo). Katika Quran, Allah anazungumzia kwa uzito na ahadi kubwa kwa wale wanaopigana katika njia Yake.

Miongoni mwa aya zinazozungumzia kuhusu faida ya kufa katika jihad ni:

  1. Surat At-Tawba 9:111:
    "Hakika Mwenyezi Mungu amenunua kwa Waumini nafsi zao na mali zao kwa kuwa wao watapata Pepo. Wanapigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wanaua na wanauawa. Hii ni ahadi ya kweli katika Taurati, Injili na Qur’ani. Na nani atimizaye agano kuliko Mwenyezi Mungu? Basi furahini kwa biashara yenu mliyo fanya naye. Na huko ndiko kufuzu kukubwa."
  2. Surat Ali Imran 3:169:
    "Wala usidhani walio uawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa wamekufa, bali wao wako hai, wanaruzukiwa kwa Mola wao."
Hizi aya zinaonyesha kuwa wale wanaokufa wakiwa katika jihad kwa ajili ya Allah wanapata malipo makubwa, ikiwa ni pamoja na Pepo na riziki kutoka kwa Allah. Pia wanachukuliwa kuwa wamefuzu na kupokea ahadi kubwa kutoka kwa Allah kwa sababu ya kujitolea kwao.
Wajinga ndio waliwao. Hizo ni hadithi tu (Mythology) kama za Sungura na Fisi. Ngoja waarabu wawadanganye tu wajinga nyie.
 
🇾🇪🇮🇱⚡Nasreddin Amer, a senior Ansarullah official, announced on his Twitter account:

Don't worry, the attacks failed. We took preventive measures and emptied the oil tanks of Ras Issa and Hodeidah ports earlier and prepared an emergency plan. Attacks do not hinder our actions, because by the will of God, we make our performance more qualitative.

🚩 @ResistanceTrench

Huyu nae ndio kiongozi wa kutegemewa kwa akili hizi !!
 
Back
Top Bottom