Kwa ufahamu wangu kuna taifa linatafutwa kuingia vitani kwa lazma lakini chanzo cha hiyo vita kimeanzia mbaali sana, i mean kimefichwafichwa.
Inawezekana kabisa Hamas walioshambulia Israel ni Israel yenyewe.
Mtoto anapigwa vibaya mtaani ili mzazi atokee