Jeshi la Israel linaongozwa na watu wasiojitambua

Unataka kufananisha vita vya mapanga kwamba mkivamia nyumba wahifadhini wanawake na watoto na vita ya sasa ya makombora. Kwamba kombora kabla ya kulipuka liwaondoe wasio na hatia kwanza?.
Israeli anapiga makazi ya raia , waleta misaada hata wao kwa wao wanapigana risasi huko siyo kuchanganyikiwa?
 
Hili jeshi la Israel lina tilia shaka kubwa sana kama ni professional army au genge la wahalifu lililo kusanywa tu hovyo hovyo na kuanza kupigana na waarabu hapo mashariki ya kati.

Ukitazama namna ambavyo hata vita vyao vya Gaza wanavyo viendesha ni kama wendawazimu walio changanyikiwa sijui nini kinawasibu au overconfidence ya kuwa wana backup kubwa ya mataifa ya magharibi ?

Unajiuliza taifa lako lipo kwenye vita ambayo hata hamjaimaliza wala malengo yenu kutimia bado hapo hapo unashambulia balozi za taifa hasimu lako hawa watu wapo timamu ?

Hivi hata washauri wenye hekima kwenye jeshi lao wapo ? Au kwao kila kitu nguvu akili kisoda. Unaweza vipi kushambulia ubalozi wa taifa lengine kama kweli wewe ni nchi unayo jitambua.

Huyu Israel hapo mashariki ya kati hana tofauti na Japan wakati ule wa miaka ya vita vya dunia kule Asia.

Japan alikuwa kama amechanganyikiwa yeye kila jirani yake ni kuanzisha ugomvi pale anapoa jisikia bila kujali madhara ila baada kutulizwa katulia tuli hadi leo sawa tu na ujerumani.

Nae huyu Israel anaelekea kulekule kwenye kutulizwa.
Iran si amesema ndani ya masaa 48 atalipa kisasa mbona hayo masaa yameisha hajafanya chochote?
 
Kwa hiyo hamas inaongozwa na wanaojitambua kwenda kuteka raia wa israel na kujificha mapangoni
 
Dah ila idf banaa
Wanatindua sana huko
Hata iweje ila lengo lao litakuwa lmetimia
Wananikumbusha enzi zakina daudi na wafilisti
 
Kushambulia balozi za taifa lengine zina thibitisha kuwa jeshi lina ongozwa na vichaa sio watu wenye akili timamu
Huyo kamanda alikuwa ameenda Syria kufanya nini? Kama Iran alishatangaza vita dhidi ya Israel kupitia Hezibollar, Houth na Hamas ilitegemea Israel afanyeje?
 
Unafananisha ubalozi na Airport wewe akili zimo kweli ?

Kweli kuna watoto na watu wajinga sana wengi humu
Wewe ndio huna akili, Iran alishatangaza vita na Israel, Iran alishasema anataka kuifuta Israel kwenye raman ya dunia, nchi inayotaka kukufuta huwezi kuichekea
 
Hili jeshi la Israel lina tilia shaka kubwa sana kama ni professional army au genge la wahalifu lililo kusanywa tu hovyo hovyo na kuanza kupigana na waarabu hapo mashariki ya kati.

Ukitazama namna ambavyo hata vita vyao vya Gaza wanavyo viendesha ni kama wendawazimu walio changanyikiwa sijui nini kinawasibu au overconfidence ya kuwa wana backup kubwa ya mataifa ya magharibi ?

Unajiuliza taifa lako lipo kwenye vita ambayo hata hamjaimaliza wala malengo yenu kutimia bado hapo hapo unashambulia balozi za taifa hasimu lako hawa watu wapo timamu ?

Hivi hata washauri wenye hekima kwenye jeshi lao wapo ? Au kwao kila kitu nguvu akili kisoda. Unaweza vipi kushambulia ubalozi wa taifa lengine kama kweli wewe ni nchi unayo jitambua.

Huyu Israel hapo mashariki ya kati hana tofauti na Japan wakati ule wa miaka ya vita vya dunia kule Asia.

Japan alikuwa kama amechanganyikiwa yeye kila jirani yake ni kuanzisha ugomvi pale anapoa jisikia bila kujali madhara ila baada kutulizwa katulia tuli hadi leo sawa tu na ujerumani.

Nae huyu Israel anaelekea kulekule kwenye kutulizwa.
Jidanganyeni tu nyinyi islamists

View: https://youtu.be/rAmUh1PbI6I?si=bLkLgjGBxYqAr8B7
 
Hujawaelewa, MI (military Intelligence) yao ipo juu sana, kule wanashambulia vyanzo hatarishi na vyenye mchango kwenye vita mama
 
Israel hajashambulia ubarozi kwa bahati mbaya kafanya makusudi kwa sababu nyuma ya vikindi vyote vinavyo mshambulia yupo Iran akipigana vita na Israel kutumia proxies Sasa hili Israel ka m Provoke Iran direct ili aingie kwenye battlefield yeye na sio kutumia proxies ( chawa) Wake hapa inatafutwa justification ya kupigana direct sio kutumia vikundi

Remember October 7 Hamas walisheherekea kuipa adabu Israel Lakini bahati mbaya hawakujua ni Kama waliwapa justification WA Israel kuipiga Gaza mfano mmoja "ni Kama Kuna mbwa kila siku anavizia kuku zako anakula anakimbia siku Moja unaamua kumfungulia Banda aingie ale vizuri harafu uite majirani mumuue"

Huu ndio mtego Iran kila siku anauruka tunasubili this time tuone ataingia vitani au nae atajibu kwa kushambulia MOSSAD warehouse ( blacksite )uko iraq au nchi nyingine na si Israel au atatumia proxies wake kushambulia ardhi ya Israel
Upo vizuri sana kwenye ubongo
 
Hili jeshi la Israel lina tilia shaka kubwa sana kama ni professional army au genge la wahalifu lililo kusanywa tu hovyo hovyo na kuanza kupigana na waarabu hapo mashariki ya kati.

Ukitazama namna ambavyo hata vita vyao vya Gaza wanavyo viendesha ni kama wendawazimu walio changanyikiwa sijui nini kinawasibu au overconfidence ya kuwa wana backup kubwa ya mataifa ya magharibi ?

Unajiuliza taifa lako lipo kwenye vita ambayo hata hamjaimaliza wala malengo yenu kutimia bado hapo hapo unashambulia balozi za taifa hasimu lako hawa watu wapo timamu ?

Hivi hata washauri wenye hekima kwenye jeshi lao wapo ? Au kwao kila kitu nguvu akili kisoda. Unaweza vipi kushambulia ubalozi wa taifa lengine kama kweli wewe ni nchi unayo jitambua.

Huyu Israel hapo mashariki ya kati hana tofauti na Japan wakati ule wa miaka ya vita vya dunia kule Asia.

Japan alikuwa kama amechanganyikiwa yeye kila jirani yake ni kuanzisha ugomvi pale anapoa jisikia bila kujali madhara ila baada kutulizwa katulia tuli hadi leo sawa tu na ujerumani.

Nae huyu Israel anaelekea kulekule kwenye kutulizwa.
Muwe mnaelewa kwanza historia.

Mnamo June mwaka 1967, Israel ilipigana vita vilivyoitwa 6day War ikipambana na Misri, Jordan, Lebanon na Iraq zote kwa mkupuo na akazigaragaza.

Ushindi alioupata ulimpatia jeuri ya kuyakalia maeneo ya Peninsula ya Sinai, west Bank na milima ya Golani chini ya Jordan kwa mabavu mpaka leo, isipokuwa kwa Sinai ilirejeshwa baada ya Misri kwenda kulialia 'Camp David'.

Israel ana mbinu za kuanzisha 'front' nyingi za kivita kwa mkupuo na akashinda na vita hii lazima ashinde.
 
Back
Top Bottom