Israel ni kama genge la wahuni, vibaka na watu wasiowatakia mema wananchi wao.
Hata US mwenyewe licha ya kuwa na misilaha, uchumi wa hali ya juu na nguvu za kijeshi hajawahi kufanya huo ujinga kushambulia makamanda wa North Korea licha ya NK kutest makombora kila siku.
Israel haifahamu vita ikoje wanaume waliopigana WWII wanafahamu vita ipo vipi, achana na huyo kichaa anajisifu na six days war na operation Entebbe.
Watu wanetwangana vita karibu miaka 7, Iran imepigana miaka 8 chini ya vikwazo akiwepo Sadam akisaidiwa na USSR, Europe ,US Saudia , Qatar n.k Iran ni kama ilikuwa inapigana na dunia lakini wanaume akuna mpuuzi alipiga hatua hata km 1 kwenye mipaka yake. Hilo battle Israel haiwezi miaka 100.
Wanaoifahamu vita wanapenda amani.
Israel kushambulia balozi ya Iran ni kucheza mind game na kuionyesha dunia kwamba bado ina nguvu na haitetereshwi na kikundi kidogo kama Hamas lakini deeply inside jamaa wapo hoi na nafikiri hadi hivi sasa wanajutia walichofanya.
Unaweza kutambua kwamba Israel ipo hoi kutokana na Iran hatua iliyoichukua hajawahi kutokea, intelligence ya Iran imegundua jamaa ni mdebwedo na wamefanya calculation zao wameona Israel ni paka tu. Middle East intelligence ya Iran ipo juu sana wale sio walevi kukurupuka.
Wanaoifahamu vita ni wapenda amani lakini ni mashetani wanyonya damu endapo wakiamua kuingia vitani.
Hata US hakujibu Iran ilipopiga kambi zake pale Iraq kwa sababu wanaifahamu vita itakuaje.