Jeshi la Israel linaongozwa na watu wasiojitambua

wajuzi wa mambo tu ndo watajua Idf kama wanajua ama lah.
Mpaka ubalozi unapigwa kuna mambo mawili
1. Ni bahati mbaya kweli
2. Waliwalenga wao kwasababu zao za msingi

Sijawahi kuwa na shaka na wataalam wenye kufanya kazi kimkakakati.

Hivi vita mpaka vitakapoisha natumai lengo lao zaid ya 90% litakuwa limefikiwa
Japo
Japo
Matokeo hasi pia nayo yatakwepo mengi
 
Hizo sheria zinaruhusu adui kujificha nyuma ya kinamama na watoto?! Au inaruhusu kurusha maroketi toka mashuleni, hospital, vyuoni, makazi ya watu, ofisi za jumuiya ya kimataifa?
Namna unavyoandika ni kama mtu aliyevaa miwani ya mbao asione kabisa,yaani akili yako haiko tayari kupokea tofauti na kile ulichokariri/karirishwa!
Inatia uvivu kuanza kumuelimisha mtu wa namna hii!
 
Kushambulia balozi za taifa lengine zina thibitisha kuwa jeshi lina ongozwa na vichaa sio watu wenye akili timamu
Kumbuka hajauliwa barozi kauliwa kamanda wa IRGC brigadier general Mohammed Reza Zahedi ambae yupo Syria kimkakati kuongoza vikundi vinavyo mshambulia Israel ni MTU ambae alikua ana provide Intel , strategy na siraha kwa adui hili shambulio sio la bahati mbaya ni wameifanya Makusudi
 
Hili jeshi la Israel lina tilia shaka kubwa sana kama ni professional army au genge la wahalifu lililo kusanywa tu hovyo hovyo na kuanza kupigana na waarabu hapo mashariki ya kati.

Ukitazama namna ambavyo hata vita vyao vya Gaza wanavyo viendesha ni kama wendawazimu walio changanyikiwa sijui nini kinawasibu au overconfidence ya kuwa wana backup kubwa ya mataifa ya magharibi ?

Unajiuliza taifa lako lipo kwenye vita ambayo hata hamjaimaliza wala malengo yenu kutimia bado hapo hapo unashambulia balozi za taifa hasimu lako hawa watu wapo timamu ?

Hivi hata washauri wenye hekima kwenye jeshi lao wapo ? Au kwao kila kitu nguvu akili kisoda. Unaweza vipi kushambulia ubalozi wa taifa lengine kama kweli wewe ni nchi unayo jitambua.

Huyu Israel hapo mashariki ya kati hana tofauti na Japan wakati ule wa miaka ya vita vya dunia kule Asia.

Japan alikuwa kama amechanganyikiwa yeye kila jirani yake ni kuanzisha ugomvi pale anapoa jisikia bila kujali madhara ila baada kutulizwa katulia tuli hadi leo sawa tu na ujerumani.

Nae huyu Israel anaelekea kulekule kwenye kutulizwa.
Hujaandika ine details, field manuals zao zikoje, rules of engagement, tacticts. In details elezea wapi wanakosea na wafanye nini?
 
Kushambulia balozi za taifa lengine zina thibitisha kuwa jeshi lina ongozwa na vichaa sio watu wenye akili timamu
Toka lini jeshi linaongozwa na wafua chupi? . Vita ikishaanza lolote linaweza kutokea. Israel wakati anaingia kupiga gaza hayo unavyosema yote wameyajadili kwa upana wake na uzito unaostahiki ndiyo maana hata nani apige pale naye atapigwa pia. Hilo ni taifa la Vita na visasi.
 
Kushambulia balozi za taifa lengine zina thibitisha kuwa jeshi lina ongozwa na vichaa sio watu wenye akili timamu
Siyo mara ya kwanza kwa Israel kufuata maadui kokote walipo, walishafanya Uganda tena wakishambulia Entebe airport. Huyo kamanda wa jeshi la Iran alikuwa anafanya nini huko Syria? Pia Iran alishasema anatafuta namna ya kuifuta Israel,kwa mantiki hiyo Iran alishatangaza vita.
 
Kumbuka hajauliwa barozi kauliwa kamanda wa IRGC brigadier general Mohammed Reza Zahedi ambae yupo Syria kimkakati kuongoza vikundi vinavyo mshambulia Israel ni MTU ambae alikua ana provide Intel , strategy na siraha kwa adui hili shambulio sio la bahati mbaya ni wameifanya Makusudi
Kwa nini Urusi haipigi mabomu ikulu ya Kyiv aisambaratishe ?
 
Siyo mara ya kwanza kwa Israel kufuata maadui kokote walipo, walishafanya Uganda tena wakishambulia Entebe airport. Huyo kamanda wa jeshi la Iran alikuwa anafanya nini huko Syria? Pia Iran alishasema anatafuta namna ya kuifuta Israel,kwa mantiki hiyo Iran alishatangaza vita.
Unafananisha ubalozi na Airport wewe akili zimo kweli ?

Kweli kuna watoto na watu wajinga sana wengi humu.
 
Hayo magaidi mbona hayafuati hizo Sheria?hapo ni kutwanga tu na ndio lugha magaidi wanaielewa.
Wenzako wanajificha kwenye mahema huko Israeli wewe unapiga domo huko tandika.
 
Attachments

  • Screenshot_20240404_071745_X.jpg
    Screenshot_20240404_071745_X.jpg
    99.5 KB · Views: 1
Hili jeshi la Israel lina tilia shaka kubwa sana kama ni professional army au genge la wahalifu lililo kusanywa tu hovyo hovyo na kuanza kupigana na waarabu hapo mashariki ya kati.

Ukitazama namna ambavyo hata vita vyao vya Gaza wanavyo viendesha ni kama wendawazimu walio changanyikiwa sijui nini kinawasibu au overconfidence ya kuwa wana backup kubwa ya mataifa ya magharibi ?

Unajiuliza taifa lako lipo kwenye vita ambayo hata hamjaimaliza wala malengo yenu kutimia bado hapo hapo unashambulia balozi za taifa hasimu lako hawa watu wapo timamu ?

Hivi hata washauri wenye hekima kwenye jeshi lao wapo ? Au kwao kila kitu nguvu akili kisoda. Unaweza vipi kushambulia ubalozi wa taifa lengine kama kweli wewe ni nchi unayo jitambua.

Huyu Israel hapo mashariki ya kati hana tofauti na Japan wakati ule wa miaka ya vita vya dunia kule Asia.

Japan alikuwa kama amechanganyikiwa yeye kila jirani yake ni kuanzisha ugomvi pale anapoa jisikia bila kujali madhara ila baada kutulizwa katulia tuli hadi leo sawa tu na ujerumani.

Nae huyu Israel anaelekea kulekule kwenye kutulizwa.
Una point, ila siamini kuwa eti Israel kakurupuka hiyo ni calculated move....Israel siyo wajinga....muda utaongea....
 
Back
Top Bottom