Jeshi la Israel linaongozwa na watu wasiojitambua

Wenzako wanajificha kwenye mahema huko Israeli wewe unapiga domo huko tandika.
Acha kuchekesha watu,yaani chanzo chako cha habari ni Iran observer,hakuna habari hapo,hizo propaganda za ayatollah na chawa wake lakini Israel (taifa teule) hali ni shwari kabisa na magaidi yanazidi kupelekewa moto maana ndio lugha yanaelewa.
 
Namna unavyoandika ni kama mtu aliyevaa miwani ya mbao asione kabisa,yaani akili yako haiko tayari kupokea tofauti na kile ulichokariri/karirishwa!
Inatia uvivu kuanza kumuelimisha mtu wa namna hii!
Leta facts acha porojo

Hili suala linajukana siku nyingi, hii ni Report ya UN ikikiri Hamas wanarusha rockets toka kwenye mashule

UN admits Palestinians fired rockets from UNRWA schools

UN admits Palestinians fired rockets from UNRWA schools - UN Watch
 
Attachments

  • Screenshot_20240404-121120.jpg
    Screenshot_20240404-121120.jpg
    569.4 KB · Views: 1
Israel keshasema anaweza piga middle east yote wewe ka tulia enjoy the moment wew si unafurahia downfall ya Israel hutakiwi kuwaonea huruma Wala kuwakosoa subria Iran ipige tukio uje kifua mbele netanyau anajua achofanya
Unajua unachokiongea au...Hitler na Wajapan walijisemeshaga hivyo hivyo kilichowakuta kila mtu anajua, Zionism ideology sijui inahitaji kuifanya nn dunia wakimalizana na waarabu watakuja kusema Afrika ni yao sijui utakubali...
 
Leta facts acha porojo

Hili suala linajukana siku nyingi, hii ni Report ya UN ikikiri Hamas wanarusha rockets toka kwenye mashule

UN admits Palestinians fired rockets from UNRWA schools

UN admits Palestinians fired rockets from UNRWA schools - UN Watch
Hebu twende kama wewe utakavyo halafu nione tuone kama mind yako iko free!
Israel na collective west wamepitisha kuwa Hamas ni terrorist group!Kwa maana hiyo IDF imeingia Gaza kupambana na kikundi cha kigaidi!Kwahiyo sitegemei uniambie hapa kuwa kikundi ambacho kimetambulika kama cha kigaidi kifuate sheria za vita,unless huo ugaidi ni propaganda!Tuje kwa IDF,yenyewe ikifanya mauaji holela huko gaza basi na yenyewe inapaswa kutambulika kama kikundi cha kigaidi!Sheria ya kimataifa inasema kunatakiwa kuwe na proportionality!Huwezi kutupa bomu kwenye halaiki ya watu kisa tu kuna hamas umejua wapo humo!Kama unakumbuka IDF iliingia kwenye lawama baada ya kuua mamia ya raia katika shambulio moja,Israel ikaja kujitetea kuwa kulikuwa na kamanda mmoja wa Hamas!Ndio swali linakuja,kuna justification kuua mamia ya raia wakiwamo watoto na wanawake kisa unataka roho ya kamanda mmoja?Ndio hapo int law inataka kuwe na proportion!
IDF imefanya matukio mengi gaza ambayo ni kinyume na int law na imekuwa ikikaidi uchunguzi kufanyika!Kwa mantiki hiyo,kama israel haifuati int law basi haina tofauti na Hamas!IDF nao watambulike kama kikundi cha kigaidi ili sasa na wao waendelee kuua watu kiholela kama wafanyavyo!
 
Umeandika mengi Ila sijaona la maana.

IDF wanafanya makosa kuua kamanda mmoja kwenye halaiki ya watu Ila Hamas inafanya sawa kurusha maelfu ya maroketi kwenye maeneo ya raia kule Israel?!

Gaidi linajificha nyuma ya kinamama na watoto halafu likifumuliwa mnalalamika likiachwa mnasema Israel dhaifu. Juzi magaidi yamedakwa pale Shifa hospital ikiwemo kamanda mmoja wa Hamas, wakipigwa wanakimbilia Al Jazeera kujiliza. UPUUZI!!!!
 
TUJITAHIDI KUFICHA UJINGA WETU SOMETIMES..
yaani wewe maamuma upo hapo bombom kijiwe samli kibarazani umekuywa chai na andazi la mia mbili unadiriki kusema viongozi wa jeshi la israel hawajitambui..
Aisee kuna vitu vinachekesha na nadhani sio kila kitu cha kutolea maoni mengine tuache tu yatupite au kutafuta maarifa zaidi.
 
Umeandika mengi Ila sijaona la maana.

IDF wanafanya makosa kuua kamanda mmoja kwenye halaiki ya watu Ila Hamas inafanya sawa kurusha maelfu ya maroketi kwenye maeneo ya raia kule Israel?!

Gaidi linajificha nyuma ya kinamama na watoto halafu likifumuliwa mnalalamika likiachwa mnasema Israel dhaifu. Juzi magaidi yamedakwa pale Shifa hospital ikiwemo kamanda mmoja wa Hamas, wakipigwa wanakimbilia Al Jazeera kujiliza. UPUUZI!!!!
Ndio maana nikasema akili yako tayari iko biased,huangalii facts!Wewe unaendeshwa na hisia!Ni vigumu sana kufanya mjadala na wewe,tutaishia tu kwenye maneno ya rejareja!Uwe na mchana mwema!
 
Hebu twende kama wewe utakavyo halafu nione tuone kama mind yako iko free!
Israel na collective west wamepitisha kuwa Hamas ni terrorist group!Kwa maana hiyo IDF imeingia Gaza kupambana na kikundi cha kigaidi!Kwahiyo sitegemei uniambie hapa kuwa kikundi ambacho kimetambulika kama cha kigaidi kifuate sheria za vita,unless huo ugaidi ni propaganda!Tuje kwa IDF,yenyewe ikifanya mauaji holela huko gaza basi na yenyewe inapaswa kutambulika kama kikundi cha kigaidi!Sheria ya kimataifa inasema kunatakiwa kuwe na proportionality!Huwezi kutupa bomu kwenye halaiki ya watu kisa tu kuna hamas umejua wapo humo!Kama unakumbuka IDF iliingia kwenye lawama baada ya kuua mamia ya raia katika shambulio moja,Israel ikaja kujitetea kuwa kulikuwa na kamanda mmoja wa Hamas!Ndio swali linakuja,kuna justification kuua mamia ya raia wakiwamo watoto na wanawake kisa unataka roho ya kamanda mmoja?Ndio hapo int law inataka kuwe na proportion!
IDF imefanya matukio mengi gaza ambayo ni kinyume na int law na imekuwa ikikaidi uchunguzi kufanyika!Kwa mantiki hiyo,kama israel haifuati int law basi haina tofauti na Hamas!IDF nao watambulike kama kikundi cha kigaidi ili sasa na wao waendelee kuua watu kiholela kama wafanyavyo!
Unaporusha roketi tokea shule, jengo la raia tayari hiyo inakua legitimate target. Hata Urusi mwanzoni ilikua ikishambulia sehemu za raia ambazo Ukraine ilikua ikitumia kurusha makombora.

U.N. Says Ukraine Bears Share of Blame for Nursing Home Attack
Share:
Twitter

Two weeks after Russia launched its invasion of Ukraine, Kremlin-backed rebels assaulted a nursing home in the eastern region of Luhansk. Dozens of elderly and disabled patients, many of them bedridden, were trapped inside without water or electricity.

The March 11 assault sparked a fire that spread throughout the facility, suffocating people who couldn’t move. A small number of patients and staff escaped and fled into a nearby forest, finally getting assistance after walking several miles.

In a war awash in atrocities, the attack on the nursing home near the village of Stara Krasnyanka stood out for its cruelty. And Ukrainian authorities placed the fault squarely on Moscow, accusing Russia of killing more than 50 vulnerable civilians in a brutal and unprovoked attack.

But a new United Nations report has found that Ukraine’s armed forces bear a large, and perhaps equal, share of the blame for what happened at the care home in Stara Krasnyanka, which is about 360 miles southeast of Kyiv. A few days before the March 11 attack, Ukrainian soldiers took up positions inside the nursing home, effectively making the building a target. U.N. Says Ukraine Bears Share of Blame for Nursing Home Attack
 
Ndio maana nikasema akili yako tayari iko biased,huangalii facts!Wewe unaendeshwa na hisia!Ni vigumu sana kufanya mjadala na wewe,tutaishia tu kwenye maneno ya rejareja!Uwe na mchana mwema!
Kwanini niendeshwe na hisia wakati vitu viko wazi kabisa
 
Hili jeshi la Israel lina tilia shaka kubwa sana kama ni professional army au genge la wahalifu lililo kusanywa tu hovyo hovyo na kuanza kupigana na waarabu hapo mashariki ya kati.

Ukitazama namna ambavyo hata vita vyao vya Gaza wanavyo viendesha ni kama wendawazimu walio changanyikiwa sijui nini kinawasibu au overconfidence ya kuwa wana backup kubwa ya mataifa ya magharibi ?

Unajiuliza taifa lako lipo kwenye vita ambayo hata hamjaimaliza wala malengo yenu kutimia bado hapo hapo unashambulia balozi za taifa hasimu lako hawa watu wapo timamu ?

Hivi hata washauri wenye hekima kwenye jeshi lao wapo ? Au kwao kila kitu nguvu akili kisoda. Unaweza vipi kushambulia ubalozi wa taifa lengine kama kweli wewe ni nchi unayo jitambua.

Huyu Israel hapo mashariki ya kati hana tofauti na Japan wakati ule wa miaka ya vita vya dunia kule Asia.

Japan alikuwa kama amechanganyikiwa yeye kila jirani yake ni kuanzisha ugomvi pale anapoa jisikia bila kujali madhara ila baada kutulizwa katulia tuli hadi leo sawa tu na ujerumani.

Nae huyu Israel anaelekea kulekule kwenye kutulizwa.
Labda mtoa mada hujui kwamba Israeli imekua
Ikishambuliwa indirect na Iran kupitia vikundi vya kigaidi kama Hezbollah na Hamas.
 
Unaporusha roketi tokea shule, jengo la raia tayari hiyo inakua legitimate target. Hata Urusi mwanzoni ilikua ikishambulia sehemu za raia ambazo Ukraine ilikua ikitumia kurusha makombora.

U.N. Says Ukraine Bears Share of Blame for Nursing Home Attack
Share:
Twitter

Two weeks after Russia launched its invasion of Ukraine, Kremlin-backed rebels assaulted a nursing home in the eastern region of Luhansk. Dozens of elderly and disabled patients, many of them bedridden, were trapped inside without water or electricity.

The March 11 assault sparked a fire that spread throughout the facility, suffocating people who couldn’t move. A small number of patients and staff escaped and fled into a nearby forest, finally getting assistance after walking several miles.

In a war awash in atrocities, the attack on the nursing home near the village of Stara Krasnyanka stood out for its cruelty. And Ukrainian authorities placed the fault squarely on Moscow, accusing Russia of killing more than 50 vulnerable civilians in a brutal and unprovoked attack.

But a new United Nations report has found that Ukraine’s armed forces bear a large, and perhaps equal, share of the blame for what happened at the care home in Stara Krasnyanka, which is about 360 miles southeast of Kyiv. A few days before the March 11 attack, Ukrainian soldiers took up positions inside the nursing home, effectively making the building a target. U.N. Says Ukraine Bears Share of Blame for Nursing Home Attack
Ndio maana nikakwambia lazima kuwe na proportionality!Hapa tunazungumzia int law!
The principle of proportionality (Article 51(5) (b) API) states that even if there is a clear military target it is not possible to attack it if the expected harm to civilians, or civilian property, is excessive in relation to the expected military advantage.
 
Back
Top Bottom