Jeshi la Israel linaongozwa na watu wasiojitambua

Jeshi la Israel linaongozwa na watu wasiojitambua

natamani sana iran aingize ata jiwe israel. Huku tz kelele zimezidi sana maana kila mtu ana team yake hapa
 
Kwa taarifa yako Kuna vitu hizi serikali huviacha vitokee for the great cause

Egypt ali share Intel kwa MOSSAD kuhusu uwezekano wa shambulio before October 7 Lakini Ndio kwanza Israel ikalegeza ulinzi mpakani so kuna Mambo ambayo wakubwa hupanga yatokee ili kupata justification ya kuvamia

Wote tunajua Israel ilikua Haina uwezo wa kuingia directly Gaza strip bila sababu yenye mashiko and out of Blue mburura Hamas akajua Ndio muda wa kujipigia kuna huu mfano mmoja "Ni Kama Kuna mbwa kila siku anavizia kuku zako anakula anakimbia siku Moja unaamua kumfungulia Banda aingie ale kuku vizuri harafu uite majirani mumuue"

Amini Hamas wanajuta Kwa kuvamia Israel Kwa wanayo pitia mama zao watoto wao na dada zaoView attachment 2953708View attachment 2953710
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na bado mtakiri kila uongo wa dunia Hamas huu ni mwezi wa 6 unaelekea hakuna dalili ya kupoa wala kuachia hao mateka waliokamatwa.kama walipanga basi wameingia cha kike.
 
Hahaha unafurahisha hivi kwenye hii vita ukija na statistics number of casualties in Goza kina Mama watoto mpaka vichanga wazee wagonjwa angalia watu hawana chakula maji communication more than million people wanaishi kwa kutanga tanga but still kuna wajinga wanawapongeza hao vichaa like seriously???

Kama umepita JKT tu japo kwa mafunzo ya mujibu Unaweza kujua kiapo cha askiri to swear an oath to die protect your people cha ajabu Mama zao watoto wao na dada zao wanakipata cha moto wenyewe wapo mashimoni wanavizia useless kabisa
 
Si wanajidanganya kwamba wakiua watoto wanawake na raia kwa wingi Hamas watasimamisha vita . Imekula kwao hapa ni mpaka kieleweke .
 
Si wanajidanganya kwamba wakiua watoto wanawake na raia kwa wingi Hamas watasimamisha vita . Imekula kwao hapa ni mpaka kieleweke .
So kumbe sasa hivi IDF Ndio inaomba ceasefire?? Bro nilikua sijui hili kumbe Israel Ndio inapelekewa pumzi ya moto?

Neta alipo declare operation hapo Gaza aliweka wazi kwamba wakati huu anataka iwe fundisho kwa future generations yaani Kwa madhira wanayopitia Raia wa Palestine kama Hamas ikirudia basi somo litakua halijaeleweka
 
Wamechanganyikiwa walijua Hamas ni wiki 1 tu watakua wamewamaliza wanashangaa wanaume bado wanawashughulikia . Kwa hasira wanaua raia , watoto na watoa missada.
Mkuu huenda mimi nilisikia tofauti. Kwamba yahudi anaenda gaza kupigana vita ya muda mrefu kutokana na aina ya vita vyenyewe kwamba hamas hawana kambi rasmi za kijeshi bali hujificha miongoni mwa raia.
 
Kwahiyo Hamas kafanikiwa?

Ulishawahi kuona maiti ya Hamas hata mmoja? Ila IDF wamekufa kibao, kwa kuchanganyikiwa kwao wanauwa mpaka watoto/raia wasio na hatia, mpaka ubalozi wanalipua bado utasema wale ni timamu!
 
Vita ina sheria zake wewe hii ipo tangu enzi za mitume.
Unataka kufananisha vita vya mapanga kwamba mkivamia nyumba wahifadhini wanawake na watoto na vita ya sasa ya makombora. Kwamba kombora kabla ya kulipuka liwaondoe wasio na hatia kwanza?.
 
Hilo hilo ndio linabutua waarabu woote ukanda woote wa Middle East.....endelea kubwabwaja
Hahaha kuna waarabu wakorofi hapo Lebanon wanaitwa hizbullah hawa waliwahenyesha 2006 mpaka wakatema ndoano wale waarabu legelege waliishia miaka ile ya 60 ,kama anaubavu idf akiwashe lebanon amfurushe hizbullah tuone yeye mwamba maana ile 2006 miji kama haifa ilichakazwa ppwer grid zikabutuliwa wenyewe wakamhimiza mkubwa wao usa apeleke resolution ceasefir UN kama vipi waifumue hizbullah
 
Hili jeshi la Israel lina tilia shaka kubwa sana kama ni professional army au genge la wahalifu lililo kusanywa tu hovyo hovyo na kuanza kupigana na waarabu hapo mashariki ya kati.

Ukitazama namna ambavyo hata vita vyao vya Gaza wanavyo viendesha ni kama wendawazimu walio changanyikiwa sijui nini kinawasibu au overconfidence ya kuwa wana backup kubwa ya mataifa ya magharibi ?

Unajiuliza taifa lako lipo kwenye vita ambayo hata hamjaimaliza wala malengo yenu kutimia bado hapo hapo unashambulia balozi za taifa hasimu lako hawa watu wapo timamu ?

Hivi hata washauri wenye hekima kwenye jeshi lao wapo ? Au kwao kila kitu nguvu akili kisoda. Unaweza vipi kushambulia ubalozi wa taifa lengine kama kweli wewe ni nchi unayo jitambua.

Huyu Israel hapo mashariki ya kati hana tofauti na Japan wakati ule wa miaka ya vita vya dunia kule Asia.

Japan alikuwa kama amechanganyikiwa yeye kila jirani yake ni kuanzisha ugomvi pale anapoa jisikia bila kujali madhara ila baada kutulizwa katulia tuli hadi leo sawa tu na ujerumani.

Nae huyu Israel anaelekea kulekule kwenye kutulizwa.
Mbona wewe ndiye aliyechanganyikiwa?Unawachagulia kwa kutwanga?Loser!😎
 
IDF inachofanya ni kuwapiga maadui zake ko kote waliko bila kujali wako katikati ya watu,au ubarozini au wako nchi gani.
Wao ni Jino kwa Jino!
 
Hili jeshi la Israel lina tilia shaka kubwa sana kama ni professional army au genge la wahalifu lililo kusanywa tu hovyo hovyo na kuanza kupigana na waarabu hapo mashariki ya kati.

Ukitazama namna ambavyo hata vita vyao vya Gaza wanavyo viendesha ni kama wendawazimu walio changanyikiwa sijui nini kinawasibu au overconfidence ya kuwa wana backup kubwa ya mataifa ya magharibi ?

Unajiuliza taifa lako lipo kwenye vita ambayo hata hamjaimaliza wala malengo yenu kutimia bado hapo hapo unashambulia balozi za taifa hasimu lako hawa watu wapo timamu ?

Hivi hata washauri wenye hekima kwenye jeshi lao wapo ? Au kwao kila kitu nguvu akili kisoda. Unaweza vipi kushambulia ubalozi wa taifa lengine kama kweli wewe ni nchi unayo jitambua.

Huyu Israel hapo mashariki ya kati hana tofauti na Japan wakati ule wa miaka ya vita vya dunia kule Asia.

Japan alikuwa kama amechanganyikiwa yeye kila jirani yake ni kuanzisha ugomvi pale anapoa jisikia bila kujali madhara ila baada kutulizwa katulia tuli hadi leo sawa tu na ujerumani.

Nae huyu Israel anaelekea kulekule kwenye kutulizwa.
Kwenye huo ubalozi walikuwepo mageneral wa Iran wanawaongoza hamas na hezbollah kuishambulia israel kwa hiyo israel kaamua kupiga mdhamini wa magaidi anaetumia mlango wa nyuma
 
[emoji1787][emoji1787] hicho kitu mbona hakipatikani mnatafuta mpaka lini?
Wanatafuta ..,mimi sipo huko...na si kitu .. ni either nchi au kiongozi flani kung'olewa.. .. " hapo anatafutwa mtu ".. .. .. hizo nyingine ni njia tu tofauti za kumfikia!..
[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom