Jeshi la Israel linasema kuwa litaondoa vikosi vitano vya kijeshi vilivyoshiriki katika uvamizi wa ardhini wa Gaza

Jeshi la Israel linasema kuwa litaondoa vikosi vitano vya kijeshi vilivyoshiriki katika uvamizi wa ardhini wa Gaza

🛑 Al-Qassam (Hamas)

Wapiganaji wetu kutoka kambi ya Al-Bureij, wanathibitisha kuweka shambulizi la kuvizia lililopangwa vyema kwa kikosi maalum cha Kizayuni katika moja ya majengo yaliyoko mbele yake ambayo magari ya adui yamewekwa katika kambi hiyo.

Mara baada ya jeshi la Kizayuni kuingia ndani ya jengo hilo kuchukua mapumziko, waliwavizia kwa risasi na makombora ya kuzuia ngome, na kusababisha hasara, huku wapiganaji wetu wakiondoka salama hadi kwenye vituo vyao.
 
kama hufuatilii, juzi accidentally, wamepiga bom likauwa wanajeshi wao 20. uwe unakuwa updated sio unakaa tu huko mbagala na kuchati hapa.
Wanajeshi waliojeruhiwa katika mapigano huko Gaza walihamishiwa katika Hospitali ya Soroka.

Hizo story tolka lini Israel anasema kapigwa ukiona anasema basi wanakuambia ajali hii video wanachukuwa majeuruhi wameoshavunywa miguu na Hamas lakini hawasemi


View: https://x.com/warmonitors/status/1741761625592304104?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
kwahiyo israel wamepata aibu, dah, na wakiondoka wapalestina watarudi wapi sasa? na hujui kuwa uwepo wa wanajeshi wengi kila sehemu unawapa ugumu airforce kupiga mabom?wakijua wanajeshi wao ni wachache na wapo eneo fulani tu ni rahisi kwao kurusha mabom wapendavyo kwasababu wanajua hawatawadhuru wenzao. kweli israel ashindwe vita na kusalenda kwa hamas kirahis hivyo? au si ukute hapo ni mtego au wanaenda kujiandaa kupiga upande wa kaskazini hezbollah au wameona pale hawana umuhimu wa kuwepo wanajeshi wengi kwasababu wameshamaliza kazi.
Hakuna cha mtego hapo, mambo ni magumu sana kwa Israel. Haujiulizi kwa nini Israel alikuwa ana negotiate cease fire na hamasi ndio alikuwa anakataa kwa kutaka masharti yake yafuatwe?
 
🛑 Haaretz:

Madaktari wengi wa magonjwa ya akili wa Kiisraeli wameondoka kuelekea Uingereza, wakiepuka mzigo unaoongezeka huku kukiwa na ongezeko la visa vya matatizo ya kisaikolojia miongoni mwa wanajeshi wa IOF wanaorejea kutoka Ukanda wa Gaza.
 
The New York Times, citing American and Israeli officials, emphasizes that recent negotiations between Biden and Netanyahu were more tense and in a harsher tone.
 
⚡️Spox wa Al-Qassam Brigades Abu Obeida anaripoti:

Katika siku 4 zilizopita:

🔻Al-Qassam aliharibu magari 71 ya kijeshi kabisa au sehemu.

🔻Ilithibitisha kuuawa kwa wanajeshi 16 wa IOF na kujeruhiwa kwa dazeni kwa viwango tofauti.

🔻Ilifanya misheni 42 ya kijeshi na kusababisha hasara kati ya vikosi vya adui. Misheni hizi zililenga vikosi vya Wazayuni vinavyovamia kwa makombora, vilipuzi vya kuzuia ngome, na shughuli za masafa matupu.

🔻Walilenga timu zao za uokoaji, walilipua majengo 2 yaliyonaswa na vichuguu 2, pamoja na uwanja wa migodi ulioathiri magari na wanajeshi.

🔻Ilifanya shughuli 2 za mpiga risasi.

🔻 Helikopta 1 ililengwa.

🔻 Ndege 2 za upelelezi zilishushwa, na drone nyingine (quadcopter) ilikamatwa.

🔻Vituo vya amri, vyumba vya uongozi na mikusanyiko ya kijeshi yenye roketi za masafa mafupi na makombora katika maeneo yote ya mapigano huko Gaza.

🔻Ilionyesha Tel Aviv kwa wingi wa roketi za M90.
 
Jifarijini tu, Gaza na wapalestina wanauawa kila siku, mwisho wa siku mtaona Gaza haipo, kwa suala la mateka Israel ameshasema liwalo na liwe, lakini tunaifuta Gaza, mimi nawahurumia wapalestina, tutakuja kushtuka watu 100000 wamekufa.
 
Jifarijini tu, Gaza na wapalestina wanauawa kila siku, mwisho wa siku mtaona Gaza haipo, kwa suala la mateka Israel ameshasema liwalo na liwe, lakini tunaifuta Gaza, mimi nawahurumia wapalestina, tutakuja kushtuka watu 100000 wamekufa.
Wewe israel mweusi, tangu lini ukawa na huruma tuondolee unafiki.

Wapalestina hawajaanza kuuliwa leo labda umri wako mdogo Palestina wakiwuwa Muisrael 1 tu kwa ni ushindi mkubwa mabasha zako wanakimbia Gaza huko.
Leaked information 💥
The real number of enemy deaths in Gaza:
8435 Israeli dead
902 French killed
1,385 Americans killed
79 Britons killed
48 Italians killed
62 Indian mercenaries and others

Huu ni ushindi mkubwa hawajawahi kupoteza wanajeshi kama hivi.
 
Jifarijini tu, Gaza na wapalestina wanauawa kila siku, mwisho wa siku mtaona Gaza haipo, kwa suala la mateka Israel ameshasema liwalo na liwe, lakini tunaifuta Gaza, mimi nawahurumia wapalestina, tutakuja kushtuka watu 100000 wamekufa.
Kumbe siku hizi sifa ya jeshi sio kupigana vita na wanajeshi wenzao bali ni kwenda kuuwa watu hovyo?
Kweli ww ni uharo.
 
Back
Top Bottom