Wanajeshi waliojeruhiwa katika mapigano huko Gaza walihamishiwa katika Hospitali ya Soroka.kama hufuatilii, juzi accidentally, wamepiga bom likauwa wanajeshi wao 20. uwe unakuwa updated sio unakaa tu huko mbagala na kuchati hapa.
Hakuna cha mtego hapo, mambo ni magumu sana kwa Israel. Haujiulizi kwa nini Israel alikuwa ana negotiate cease fire na hamasi ndio alikuwa anakataa kwa kutaka masharti yake yafuatwe?kwahiyo israel wamepata aibu, dah, na wakiondoka wapalestina watarudi wapi sasa? na hujui kuwa uwepo wa wanajeshi wengi kila sehemu unawapa ugumu airforce kupiga mabom?wakijua wanajeshi wao ni wachache na wapo eneo fulani tu ni rahisi kwao kurusha mabom wapendavyo kwasababu wanajua hawatawadhuru wenzao. kweli israel ashindwe vita na kusalenda kwa hamas kirahis hivyo? au si ukute hapo ni mtego au wanaenda kujiandaa kupiga upande wa kaskazini hezbollah au wameona pale hawana umuhimu wa kuwepo wanajeshi wengi kwasababu wameshamaliza kazi.
Huyo ni mnyamwezi wa soko mjinga= Uingereza
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kumbe unasema safi sana soma na hiiUnakoleza thread yako. Hongera sana.
Wewe israel mweusi, tangu lini ukawa na huruma tuondolee unafiki.Jifarijini tu, Gaza na wapalestina wanauawa kila siku, mwisho wa siku mtaona Gaza haipo, kwa suala la mateka Israel ameshasema liwalo na liwe, lakini tunaifuta Gaza, mimi nawahurumia wapalestina, tutakuja kushtuka watu 100000 wamekufa.
Kumbe siku hizi sifa ya jeshi sio kupigana vita na wanajeshi wenzao bali ni kwenda kuuwa watu hovyo?Jifarijini tu, Gaza na wapalestina wanauawa kila siku, mwisho wa siku mtaona Gaza haipo, kwa suala la mateka Israel ameshasema liwalo na liwe, lakini tunaifuta Gaza, mimi nawahurumia wapalestina, tutakuja kushtuka watu 100000 wamekufa.